June 2022
-

Wafanyabiashara watatu wapandishwa kizimbani kwa kuisababishia TRA hasara ya zaidi ya shilingi bilioni 10.5
Akisoma hati ya mashtaka, wakili wa serikali wa TRA, Medalakini Godwini alidai watatu hao walitenda makosa hayo kati ya Januari 2018 na Juni 15,2022 jijini Dar es Salaam.
-

Miradi ya Maendeleo yatajwa kuwa chanzo cha ongezeko la deni la Taifa nchini Tanzania.
Akihitimisha mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2022/23, bungeni jijini Dodoma, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema deni hilo haliongezeki kwa sababu ya matumizi…
-

Kenya: Uhaba wa kondomu wakumba mji wa Naivasha kwenye mashindano ya magari ya WRC
Mashindano hayo yalianza Alhamisi na yatahitimishwa Jumapili, Juni 26. Jiji la Naivasha limeshuhudia ongezeko la wageni, wakiwemo wafanyabiashara wa ngono na kusababisha uhaba wa kondomu.
-

Tanzania kupitia miongozo kupunguza michango shuleni
Katika majadala huo, baadhi ya wabunge waliiomba Serikali itatue changamoto ya utitiri wa michango ya wanafunzi shuleni, ili azma yake ya kufuta ada kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha tano na sita kwa ajili…
-

Baadhi ya Wamasai walihamia Msomera wafurahia makazi mapya ya Msomera
Hayo yameelezwa na baadhi ya wakazi hao mbele ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipotembelea eneo hilo jana Juni 23, 2022 kukagua makazi na miundombinu ya huduma za jamii inayojengwa katika eneo hilo.
-

Khaby Lame ndio mfalme wa TikTok baada ya kuwa na wafuasi wengi zaidi kwenye TikTok
Khabane ‘Khaby’ Lame sasa ana wafuasi wengi zaidi kwenye TikTok, akiwa na wafuasi milioni 142.8 wakati wa chapisho hili.
-

Lagos,Nigeria yaorodheshwa ya pili katika miji mibaya zaidi kuishi duniani
EIU inachunguza ubora wa huduma za afya, elimu, miundombinu, uthabiti na utamaduni wakati wa kutathmini hali ya maisha ya kila jiji.
-

Naomi Osaka’s HANA KUMA received differently by African swahili speakers
The use of the phrase has triggered an online discussion, memes and funny comments in Kenya with many users calling on Osaka, whose father was born in Haiti and whose mother is Japanese, to reconsider.
-

Commonwealth meets in shadow of migrant, rights row
Prince Charles, representing Queen Elizabeth II as head of the Commonwealth, made the first visit of any British royal to Rwanda for the gathering, which culminates in two days of leadership meetings.
-

Jumuiya ya Madola yakuatana kuanzia leo Kigali,Rwanda
Mkutano wa kilele wa viongozi wa Jumuiya ya Madola unafunguliwa Ijumaa nchini Rwanda huku taifa mwenyeji likichunguzwa kuhusu rekodi yake ya haki na makubaliano ya wahamiaji na Uingereza yakitishia kuchanganya mkutano huo.







