DR Congo yatangaza mwisho wa mlipuko wa hivi punde wa Ebola
Ebola ni homa ya virusi inayosababisha kuvuja damu ambayo iligunduliwa kwa mara ya kwanza Afrika ya kati mwaka wa 1976.
Ebola ni homa ya virusi inayosababisha kuvuja damu ambayo iligunduliwa kwa mara ya kwanza Afrika ya kati mwaka wa 1976.
Rais Samia amechukua uamuzi huo saa chache baada kusema haridhishwi na kasi ya utendaji wa bandari za Tanzania na kuwataka watendaji waache siasa na longolongo wakati wa utekelezaji majukumu yao
Benki inayomilikiwa na serikali ya Banque Misr ya Misri na Ziraat Katilim ya Uturuki zitakuwa benki za kwanza za kimataifa kufanya kazi nchini humo,
Wanawake wawili, mmoja raia wa Austria na mwingine raia wa Romania, waliuawa katika shambulio la papa katika bahari ya Red Sea
Mali ilifanya mapinduzi Agosti 2020 na Mei 2021, ikifuatiwa na Guinea Septemba 2021 na Burkina Faso mwezi Januari
Polisi wa Nigeria wamewaokoa makumi ya watu, wakiwemo watoto, kutoka kwenye chumba cha chini cha kanisa ambako walikuwa wameambiwa wangojee kile walichoamini kungekuwa ujio wa pili wa Kristo
Tukio la mwanaume huyo kukatwa nyeti lilitokea Juni 28, 2022 usiku ambapo inadaiwa kuwa alikuwa kwenye kilabu cha pombe za kienyeji na alipotoka nje kujisaidia akakutana na watu hao na kumkata kwa kutumia kisu.
Rais Mwinyi alisema baada ya serikali kuingia makubaliano na kampuni ya kimataifa ya Dnata kuendeshwa uwanja wa ndege kisasa, yamekuwapo maneno mengi ya upotoshaji.
Miili hiyo imezikwa kwa pamoja jana Jumapili Julai 3, 2022 , majira ya usiku, huku vilio na simanzi zikitawala