Diamond Platinumz, ateuliwa kutumbuiza wageni katika tuzo za CAF Awards
Tuzo hizo zinawatambua wachezaji bora katika vipengele mbalimbali, huku washindi watano wakiwania Mchezaji Bora wa Kiume wa Mwaka na watatu walioteuliwa kuwania Mchezaji Bora wa Mwaka kwa Wanawake.