Op-Ed: Hakuna Kisingizio cha Mauaji ya Umati
Mtihani uliopo sasa ni kama kanda hii, pamoja na dunia pana, itasimama kwa mshikamano wa kweli na Watanzania kudai ukweli na haki, au itatazama kimya
Mtihani uliopo sasa ni kama kanda hii, pamoja na dunia pana, itasimama kwa mshikamano wa kweli na Watanzania kudai ukweli na haki, au itatazama kimya
Mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2026/2027 umechukua sura mpya baada ya Mbunge wa Jimbo la Tunguu, Zanzibar, Simai Mohammed Said, kutoa kauli kali dhidi ya kile alichodai kuwa ni usaliti unaofanywa na mmoja wa viongozi waliopo ndani ya Serikali.
Hundreds of foreigners fearing for their lives have taken shelter in community halls on South Africa’s south coast, saying mobs of locals were going door-to-door telling them to leave the country.
Tanzanian President Samia Suluhu Hassan begins a three-day state visit to Russia on Wednesday, meeting counterpart Vladimir Putin at a time when her country’s reputation in the West has been badly damaged.