Baba wa kijana aliyechoma picha ya Rais aomba kupatikana kwa mwanawe akiwa hai au mfu
Shadrack Chaula anadaiwa kutekwa Agosti 2, 2024 ikiwa ni takribani siku 20 kupita tangu alipotoka Gereza la Ruanda lililoko mkoani Mbeya.
Shadrack Chaula anadaiwa kutekwa Agosti 2, 2024 ikiwa ni takribani siku 20 kupita tangu alipotoka Gereza la Ruanda lililoko mkoani Mbeya.
Taarifa iliyotolewa leo July 31,2024 na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano – TRC, Jamila Mbarouck imesema hitilafu I lisababisha umeme kukatika kituo cha kupoozea umeme namba 7 (Godegode) ambayo kitaalamu hujulikana kama (Instanteneous Overcurrent Protection Trip) majira ya saa 4:20 usiku
HRW ilisema iliwahoji karibu watu 100 kati ya Agosti 2022 na Desemba 2023, wakiwemo wanajamii ambao tayari walikuwa wamehamia kijiji cha Msomera huko Handeni na wengine wanaokabiliwa na uhamisho.
Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina akizungumza baada ya mawakili wake kueleza msingi wa kufungua kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania, amesema kuwa zaidi ya mawakili 100 wameahidi kumuunga mkono katika kesi alizozifungua.
Utaalam huu unaojulikana kama Bone Marrow Manipulation- RBC Depletion ni utaalam unaofanywa na mashine maalum ( Apheresis machine) kwa kuchuja na kuchukua Uloto ulio kusudiwa kisha kumwekea mgonjwa ( kumpandikiza) uloto uliobakia.
Mafuvu 17 ya watu waliofukiwa kwenye masanduku ya chuma yamefukuliwa katika eneo linaloshukiwa kuwa madhabahu katikati mwa Uganda.
Wanachama wa chama cha Forum for Democratic Change (FDC) walikamatwa nchini Kenya na kushtakiwa kwa kile wakili Erias Lukwago alichokiita “unyanyasaji” kwa utaratibu wa kisheria na mamlaka ya Uganda.
Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni, amesema kumekuwa na ushirikiano mdogo kwa waathiriwa wa utekaji pindi wanapohitajika na Jeshi la Polisi kwa ajili ya kutoa ushirikiano utakaofanikisha upelelezi.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (Tanapa) leo Julai 29, 2024 gari hiyo ilikuwa na watalii saba wenye asili ya China na dereva raia wa Tanzania
Mawakili tisa wanaomwakilisha kada wa Chadema, Kombo Mbwana wamefungua kesi dhidi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Camilius Wambura na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi, wakiomba mteja wao aachiliwe huru na alipwe fidia.