Asia Gamba
-

Mwaka 2024 waelezwa kuwa mwaka hatari zaidi kwa wanawake wa Kenya
Karibu wanawake 200 wa Kenya waliuawa katika visa vya ukatili wa kijinsia mwaka 2024, ikiwa ni mara mbili ya idadi ya mwaka uliopita, kulingana na taarifa kutoka kwa vikundi vinavyofuatilia hali hiyo.
-

Polisi wavuruga mkutano wa Chadema na kufukuza waandishi wa habari
Mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka kwa Jeshi la Polisi au Chadema kuhusu nini chanzo cha uwepo wa askari hao ambao wamezuia waandishi wa habari waliofika kwa ajili ya mkutano uliopaswa kufanyika saa tano asubuhi…
-

Kiongozi wa upinzani nchini Msumbiji agoma kujiunga na Serikali Mpya
Daniel Chapo alishindwa kuwa rais wiki moja iliyopita, akiwaahidi kuleta umoja nchini baada ya ghasia za uchaguzi zilizochukua maisha ya takriban watu 300.
-

Lissu aongoza matokeo uchaguzi wa Chadema, Mbowe akubali
Licha ya kuwa hakujatangazwa matokeo ya jumla lakini matokeo yanaonyesha ushindi wa Lissu dhidi ya wapinzani wake Freeman Mbowe na Odero Odero.
-

Ni Mbowe, Lissu au Odero kuongoza Chadema?
Waswahili wanasema leo ndio leo, inyeshe mvua liwake jua lazima kieleweke hivi ndivyo unaweza kusema leo katika Mkutano Mkuu wa Chadema ambapo wanachadema wanaamua hatma yao katika safu yao ya uongozi ni nani ataongoza gurudumu…
-

Ndolezi atia nia kuwania ubunge Kigoma Kusini
Ameeleza pia msukumo wake wa kutia nia ya kugombea nafasi hiyo umetokana na changamoto wananchi wanazopitia.
-

Tanzania:Sampuli zilizochukuliwa hazijathibitisha uwepo wa virusi vya Murburg
Wizara ya Afya nchini Tanzania imesema mpaka January 15, 2025, majibu ya uchunguzi wa kimaabara kutoka kwa Wahisiwa wa Ugonjwa wa Marburg waliochukuliwa sampuli hizo hayajathibisha uwepo wa virusi hivyo.
-

Rais mpya wa Msumbiji kuapishwa leo huku maandamano yakipamba moto.
Msumbiji imeanza sherehe za kuapishwa kwa Rais mteule Daniel Chapo ambaye anachukua nafasi yake baada ya wiki kadhaa za machafuko ya kisiasa yaliyosababisha vifo vingi.
-

Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania yatangaza uwepo wa kimbunga Dikeledi
Kwa sasa, kimbunga hicho hakiashirii uwezekano wa kusababisha athari za moja kwa moja hapa nchini. Hata hivyo, kutokana na ukaribu wa maeneo ambayo kimbunga “DIKELEDI” kipo sambamba na maeneo ya kusini mwa nchi yetu, upo…







