Asia Gamba
-

Maria Sarungi: Serikali ya Tanzania iko nyuma juu ya kutekwa kwangu nchini Kenya
Tsehai alitekwa Jumapili wakati akitoka saluni kutengeneza nywele zake eneo la katikati ya Nairobi ambapo wanaume watatu walimvuta kutoka kwenye teksi yake na kumwingiza kwenye gari lao.
-

Msumbiji kuapisha bunge jipya baada ya uchaguzi wa kughushi
Msumbiji inajiandaa kuapisha bunge lake jipya leo Jumatatu, baada ya miezi kadhaa ya maandamano ya vurugu kufuatia uchaguzi uliofanyika Oktoba, ambao upinzani unasema ulighushiwa.
-

Hivi ndivyo Mwanaharakati Maria Sarungi alivyotekwa nchini Kenya
Hii si mara ya kwanza Maria kufatiliwa na watu wanaodaiwa kuwa ni watekaji ambapo wote waliojaribu kumteka wanahusishwa na mamlaka.
-

Polisi wakili kumshikilia Dk Slaa
Slaa alikamatwa jana usiku nyumbani kwake Mbweni na mpaka sasa Jeshi hilo halijaweka wazi tuhuma zinazomkabili mwanasiasa huyo.
-

Kiongozi wa Upinzani wa Msumbiji arejea kutoka uhamishoni
Vikosi vya usalama vilizuia wafuasi wake kufika kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Maputo kumlaki Venancio Mondlane alipoingia, ambapo mtu mmoja aliuawa kwa kupigwa risasi na kujeruhiwa kwenye moja ya vizuizi.
-

Aidan Eyakuze alivyopigania mabadiliko kupitia Uwazi
Aidan Eyakuze ni mtaalamu aliyejitolea katika kupigania mabadiliko ya kijamii kupitia uwazi na ushiriki wa wananchi katika masuala ya kisiasa na utawala. Kabla ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa OGP, Aidan alikuwa mkurugenzi wa shirika…
-

Mahakama ya Juu ya Msumbiji yasema chama cha tawala kilishinda uchaguzi wa Oktoba.
Mahakama ya Juu nchini Msumbiji ilithibitisha ushindi wa chama tawala katika uchaguzi wa Oktoba uliozozaniwa, baada ya madai ya ulaghai kusababisha machafuko ya mtaani yaliyochukua wiki kadhaa na kusababisha vifo.
-

Lissu achukua fomu, Sativa amlipia
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ambaye pia ni Mgombea Uenyekiti wa Chama hicho, amefika Ofisi za Makao Makuu ya Chadema zilizopo Mikocheni jijini Dar es salaam na kuchukua rasmi fomu ya kugombea nafasi…
-

Namibia yamchagua rais wake wa kwanza mwanamke
Nandi-Ndaitwah, mwenye umri wa miaka 72, anakuwa rais wa kwanza mwanamke wa nchi hii tajiri kwa madini, ambayo imekuwa ikiongozwa na SWAPO tangu uhuru kutoka Afrika Kusini ya ubaguzi wa rangi mwaka 1990.








