Kevin Sewe
-

Tanzania yaweka mikakati kabambe ya kutokomeza UKIMWI
Aidha, ametoa wito kwa vijana kujitambua, kujithamini na kutunza maisha yao kwa kujikinga na maambukizi mapya ya VVU kwa kuwa kasi ya maambukizi katika kundi la vijana bado inaonekana kuwa kubwa
-

Gachagua: I regret trusting Ruto
The only regret I have is that I dealt with President Ruto as a Christian. I trusted him, I believed in him. Whatever he told me, I took it as the truth and acted blindly,
-

Rais Joe Biden kuanza ziara yake Angola Leo Jamatatu
Rais anayeondoka madarakani nchini Marekani,Joe Biden anaanza ziara yake nchini Angola kuanzia Jumatatu, akitimiza ahadi muhimu aliyoitowa 2022 ya kuimarisha mahusiano na bara la Afrika kwa kuitembelea nchi hiyo.
-

Olympic champion Tebogo and Sifan Hassan named ‘Athletes of the Year’
Tebogo received his award after becoming the first African to be crowned Olympic champion in the 200m, crossing the line at the Stade de France in 19.46 seconds, edging out the American Kenny Bednarek and…
-

Kenyan MPs to vote on bill seeking to regulate surrogacy
According to the Assisted Reproductive Technology Bill, 2022, women wanting to be surrogates will be required to wait for two years between each birth to be eligible for another agreement.
-

Namibia polls reopen despite objections from the opposition
Some people waited 12 hours in line to vote in presidential and legislative polls, billed as the toughest yet for the South West Africa People’s Organisation (SWAPO) party, in power since Namibia’s 1990 independence from…
-

Chadema yaitisha mkutano wa dharura baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa
Taarifa kwa umma iliyotolewa leo Alhamisi, Novemba 28, 2024 na Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema, imesema kikao hicho kitaongozwa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe
-

CHADEMA Jimbo La Momba,Mkoani Songwe Wajitoa Kwenye Uchaguzi
Changamoto kadhaa zimesikika katika baadhi ya maeneo hapa nchini juu ya uchaguzi huo ikiwemo majimbo ya Tunduma na Momba Mkoani Songwe pia huko mkoani Mwanza ambako baadhi ya wananchi wamekosa majina yao kwenye orodha ya…
-

Mauaji, kupotea kwa karatasi za kupigia kura yashuhudiwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa Tanzania
Visa vya mauji madai ya wizi na kutoweka kwa vifaa vya kupigia kura vimeshudiwa.








