Kevin Sewe
-

Afrika yaomboleza kifo cha Dkt Faustine Ndugulile, Mkurugenzi wa WHO, Afrika
Haikuthibika mapema Ndugulile alikuwa anaugua nini, japo taarifa zinasema alifariki alipokuwa akipokea matibabu nchini India, kwa mujibu wa Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson.
-

Ruto: Sijuti Kuyapatia Makanisa Pesa!
Rais Ruto alibainisha kuwa amejitolea kuunga mkono maendeleo ya makanisa na kuenea kwa Ukristo kwa kutoa pesa
-
Tanzania yatangaza Novemba 27 kuwa siku ya mapumziko
Kiongozi Mstaafu wa chama cha ACTwazalendo, Zitto Kabwe akizungumza wakati wa mkutano wa kuwanadi wagombea wa chama hicho katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Kasulu Mjini Mkoani
-

Itikadi kali bado ni tishio Afrika Mashariki, Asema Dkt Omollo
Dkt Omollo Ametoa mfano wa mikasa iliyopita kama vile mashambulizi yaliyotekelezwa eneo la Westgate, Mpeketoni, Chuo Kikuu cha Garissa na jengo la Dusit, akiongeza kuwa mashambulizi hayo yanaashiria matishio yanayolikumba taifa hili kutokana na itikadi…
-

Watanzania wawili wakamatwa Kenya na pembe ya Ndovu
Polisi nchi Kenya kwa ushirikiano na maafisa wa kulinda wanyama pori KWS wamewakamata washukiwa wawili wakiwa na meno ya tembo.
-

Upinzani Tanzania walia wagombea wao wameenguliwa kushiriki uchaguzi
cha ACT-Wazalendo kimesema wagombea wake 51,423 wameenguliwa.
-

DP Prof Kindiki named Kenya’s ruling party deputy leader
Kindiki on his part vowed to help President William Ruto realise his aspirations and those of the UDA party for the people of Kenya
-

Botswana’s new president takes oath in ‘new dawn’
Botswana swore in new president Duma Boko Friday, cementing a whirlwind change of government after his landslide election victory kicking out the party in power for nearly 60 years.
-

Ruto azuru Sudan Kusini kuzindua upya mpango wa amani wa ‘Tumaini’
Baada ya maendeleo na kutiwa saini kwa itifaki tisa mwezi Julai, Makamu wa Rais Riek Machar alitangaza kujiondoa kwenye majadiliano. Riek Machar anasalia kuwa mpinzani mkuu wa Rais Salva Kiir, ingawa wanafanya kazi pamoja katika serikali ya umoja…
-

Kamala Harris concede after stunning Trump win
An emotional Vice President Harris told tearful supporters in a speech in Washington to “not despair,” urging them to “keep fighting” after her loss.







