Kevin Sewe
-

Watu zaidi ya 50 wafariki katika ajali ya meli Ziwa Kivu, Kongo
Maiti zaidi ya 20 zimeopolewa baada ya meli kupinduka kwenye ziwa kivu. Watu kadhaa bado hawajulikani walipo katika mkasa huo mbaya zaidi kuwahi kushuhudiwa katika taifa hilo linalokabiliwa na miundombinu duni
-

Tanzania authority suspends online content services of Mwananchi media
The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) has temporarily suspended the online content services of Mwananchi Communication Limited (ML) and The Citizen Tanzania publication for ‘violation of the law’
-

Mamlaka Tanzania yaifungia Mwananchi kuchapisha habari mtandaoni kwa ‘ukiukaji wa kanuni’
Mamlaka ya mawasiliano nchini Tanzania (TCRA) imesitisha kwa muda huduma za maudhui ya mtandaoni za Mwananchi Communication Limited (ML) kwa ‘ukiukaji wa kanuni’
-

45 dead after two migrant boats sink off in Djibouti
At least 45 people died and “many” others were missing after two migrant boats sank off the coast of Djibouti, the UN’s migration agency said Tuesday.
-

Hoja ya kujadili mienendo ya Rais wa Kenya William Ruto yatua bunge la Seneti
Seneta wa Kaunti ya Makueni Dan Maanzo, anahoji kuwa Ruto amekiuka Katiba katika masuala mengi, ikiwa ni pamoja na kushindwa kuwalinda Wakenya dhidi ya ukatili wa polisi kwa mujibu wa sheria.
-

Wakenya kutoa maoni kuhusu hoja ya kumbandua makamu wa rais Gachagua
Maoni hayo yanaweza tolewa kupitia mtandano kwa anwani; impeachment@parliament.go.ke kufikia Oktoba 5, 2024 saa kumi na moja jioni.
-

Maandamano mapya ya kupinga gharama ya maisha yafanyika Nigeria
Nigeria inatarajia kushuhudia maandamano mapya hii leo Jumanne wakati wananhi watapokusanyika kupinga gharama ya maisha.Maandamano hayo yaliyopewa jina la ‘Bila woga Oktoba 1’ yamepangwa kuendana na maadhimisho ya miaka 64 ya uhuru wa Nigeria ambayo…
-

Muswada kumuondoa Naibu Rais Gachagua watua Bungeni Kenya
Bunge ya Kenya limepokea ombi la kutaka kumuondoa kwa lazima Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua ikidaiwa kuwa amekiuka sheria na katiba
-

Mwanaharakati Morara Kebaso aachiliwa kwa dhamana nchini Kenya
Mwanaharakati wa kisiasa Morara Kebaso ameachiliwa huru baada ya kuzuiliwa kwa saa kadhaa kufuatia kukamatwa kwake.
-

Benin yawakamata watu watatu wanaoshukiwa kupanga mapinduzi
Waendesha mashtaka wa Benin Jumatano walisema kwamba watu watatu mashuhuri akiwemo kamanda wa kikosi cha ulinzi wa rais walikamatwa kwa tuhuma za kupanga “mapinduzi” katika taifa hilo dogo la Afrika Magharibi.







