Kevin Sewe
-

Je, Kilimo cha Protini Kutoka kwa Wadudu Kina Faida Gani?
Wadudu wanaofahamika kama Black Soldier Fly wanatumika kupata protini na mbolea isiyo na madini
-

Bakwata yaitaka serikali ya Tanzania kuchunguza mauaji na utekaji nyara
Baraza kuu la Waislamu nchini Tanzania, Bakwata, limetoa wito kwa serikali kuanzisha uchunguzi huru kuhusiana na matukio ya utekaji nyara na mauaji ya raia, vitendo vinavyodaiwa kutekelezwa na vyombo vya dola.
-

Ruto: Usajili wa wakenya kwenda kufanya kazi Ujerumani kufanyika mwezi huu
Rais William Ruto ametangaza kwamba usajili wa kwanza wa wakenya walio na ujuzi katika fani mbali mbali watakaokwenda kufanya kazi nchini Ujerumani utafanyika tarehe 27 mwezi huu wa Septemba. Akizungumza jana alipohudhuria ibada katika…
-

Simba SC goalkeeper, Aishi Manula, attacked after CAF Cup match in Libya
Aishi Manula, the goalkeeper of Tanzanian club Simba, was struck by a policeman after a stormy CAF Confederation Cup qualifier in Libya on Sunday, an official from the visiting team told AFP. The second round,…
-

Opposition in Tanzania calls for protest over Increased cases of abductions and Killings
Tanzania’s main opposition party Chadema has called for fresh demonstrations over increased cases of abductions, and Killings. Addressing a crisis meeting at the party headquarters in Mikocheni, Dar es Salaam, party chairman Freeman Mbowe said…
-

Shughuli zalemazwa katika viwanja vya ndege nchini Kenya
Mgomo huo umelemaza shughuli katika viwanja vyote vya ndege hapa nchini, huku Katibu Mkuu wa chama hicho cha KAWU Moss Ndiema, akitoa wito kwa wasafiri wanaonuia kutumia viwanja vya ndege hapa nchini, kutumia mipango mbadala.…
-

Mbowe Convenes Party Crisis Meeting Following Ali Kibao’s Murder
Following the abduction, torture, and brutal murder of Chadema official, Ali Mohamed Kibao, Chadema Party Chairman Freeman Mbowe has convenes a party crisis meeting. Speaking during the emotional send-off of Mr Kibao in his Togoni…
-

EU Envoys Condemns the brutal murder of Tanzanian Opposition Official
Envoys from the European Union in Tanzania have condemned the brutal murder of Chadema Party official on Friday In a joint statement, the envoys said they are deeply concerned with the increasing cases of abduction,…
-

Kenya starts DNA testing for school fire victims
Distraught parents gathered on Monday at a hospital in central Kenya for DNA tests to identify the victims of a deadly school dormitory fire that claimed the lives of 21 boys. Kenya’s government declared three…
-

Watu 129 wauawa katika jaribio la kutoroka gerezani DRC
Jaribio la kutoroka katika gereza kuu la Congo limesababisha vifo vya watu 129, wakiwemo baadhi waliopigwa risasi na wengine walikufa katika mkanyagano kwenye gereza hilo lenye msongamano mkubwa, mamlaka ilisema Jumanne. Wanaharakati walisema idadi ya…







