Kevin Sewe

  • President Ruto declares 3 days of national mourning following Hillside fire tragedy

    President Ruto declares 3 days of national mourning following Hillside fire tragedy

    President William Ruto has declared a three-day national mourning period following the deaths of 17 pupils at Hillside Endarasha Academy in Nyeri County Thursday night.   The pupils died after a fire broke out in…

  • President Ruto orders probe into Hillside Academy Fire tragedy

    President Ruto orders probe into Hillside Academy Fire tragedy

    President William Ruto has instructed relevant authorities to investigate the cause of the fire outbreak in one of the dormitories at Hillside Endarasha Academy in Kieni West, Nyeri County, which has claimed at least 17…

  • Tanzania Yaanza Kampeni ya Kufuzu AFCON Kwa Sare Dhidi ya Ethiopia

    Tanzania Yaanza Kampeni ya Kufuzu AFCON Kwa Sare Dhidi ya Ethiopia

    Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imeanza kampeni yake ya kufuzu kwa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 kwa sare ya 0-0 dhidi ya Ethiopia katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar…

  • Petroli yashuka bei Tanzania

    Petroli yashuka bei Tanzania

    Kulingana na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini Tanzania (EWURA), gharama Petroli, Dizeli na Mafuta ya taa zimeshuka kwa asilimia 3.6, ukilinganisha na ilivyokuwa kwa mwezi Agosti. Watumiaji wa nishati petroli…

  • Binti wa Jacob Zuma achumbiwa na Mfalme Mswati III wa Eswatini

    Binti wa Jacob Zuma achumbiwa na Mfalme Mswati III wa Eswatini

    BY TRT AFRIKA Binti ya Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma alikuwa miongoni mwa mamia ya wanawake na wasichana waliocheza ngoma kwa ajili ya Mfalme wa Eswatini katika sherehe za kitamaduni siku ya…

  • DRC yaanzisha uchunguzi ya jaribio la wafungwa kutoroka gerezani

    DRC yaanzisha uchunguzi ya jaribio la wafungwa kutoroka gerezani

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC imesema Jumatatu kwamba uchunguzi unaendelea baada ya jaribio la wafungwa kutaka kutoroka kutoka gereza kubwa zaidi nchini humo. Polisi walikuwa wamezingira barabara zinazoelekea gereza mapema asubuhi, waandishi…

  • Wanaharakati Uganda waandamana wakiwa uchi

    Wanaharakati Uganda waandamana wakiwa uchi

    Kundi moja la wanaharakati nchini Uganda leo wamefanya maandamano ya kupinga ufisadi katika taifa hilo. Hata hivo kundi hilo la wanawakwe walifanya maandamano ya kushangaza baada ya kutokezea barabarani wakiwa nusu uchi kama wamebeba mabango…

  • Kenya Yamrudisha Mshukiwa wa Mauaji Aliyoyafanya Huko Marekani

    Kenya Yamrudisha Mshukiwa wa Mauaji Aliyoyafanya Huko Marekani

    Mshukiwa wa mauaji nchini kenya Kevin Kang’ethe amesafirishwa kutoka Kenya hadi Marekani kujibu mashtaka ya kumuua mpenzi wake Margaret Mbitu

  • Rais Kagame awafuta kazi zaidi ya maafisa 200 wa jeshi

    Rais Kagame awafuta kazi zaidi ya maafisa 200 wa jeshi

    Rais wa Rwanda Paul Kagame, ambaye ni Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF), amemfuta kazi Meja Jenerali Martin Nzaramba kutoka jeshini, hii ni kwa mujibu wa taarifa ya 30 Agosti 2024 kutoka RDF.…

  • Outcry over Twitter restriction in Tanzania amidst political Tension and abductions

    Outcry over Twitter restriction in Tanzania amidst political Tension and abductions

    In significant digital freedom development, X (formerly Twitter)  has been blocked across multiple internet service providers (ISPs) in Tanzania. The internet monitoring group, NetBlocks confirmed the widespread restrictions on X, reporting that key features such as…