Kevin Sewe
-

Bei Ya Mafuta Kenya Yaongezwa Kwa Kiwango Cha Juu
Bei hizo mpya za mafuta zitatekelezwa kuanzia Septemba 15, usiku wa manane hadi Oktoba 14, 2023.
-

Libya: Waliokufa Kwa Mafuriko wafikia 11,300
Shirika la Hilali Nyekundu (Red Crescent) la Libya limesema watu waliokufa imeongezeka na kufikia11,300.
-

Wanasoka Wa Kimataifa Wa Libya Ni Miongoni Mwa Walioangamia Katika Mafuriko
Mafuriko makubwa Jijini Derna, Nchini Libya yameangamiza maisha ya wachezaji soka kadhaa wa hali ya kiwango cha kimataifa.
-

Tanzania Yakanusha Tuhuma Ya kutoroshwa kwa Wanyamapori Hadi Umoja wa Falme Za Kiarabu
kulikuwa na uvumi katika mitandao ya kijamii kuwa baadhi ya wanyama pori wanasafirishwa kisiri siri kupitia ndege za mizigo kutoka Loliondo wilaya ya Ngorongoro karibu na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, hadi Umoja wa Falme…
-

Watu Zaidi Ya 2,100 Waangamia Katika Tetemeko La Ardhi Morocco
Tetemeko hilo ni baya zaidi kuwahi kutokea Morocco tangu lile la mwaka 1960 lililouharibu vibaya mji wa Agadir na kusababisha vifo vya watu 12,000.
-

Serikali Ya Kenya Yasafisha Idara Ya Uhamiaji
Ni dhahiri wazi Waziri wa Usalama wa Kitaifa nchini Kenya Prof. Kithure Kindiki ana azima ya kuleta mabadiliko makubwa katika idara ya uhamiaji iliyopo jumba la Nyayo Jijini Niarobi
-

Waziri Mkuu Majaliwa Ampa Naibu Wake Siku Saba Kutatua changamoto ya uhaba wa mafuta
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amemuagiza Naibu wake, Dotto Biteko, kutafuta muarobaini wa changamoto ya uhaba wa mafuta ndani ya siku saba.
-

Tanzania Imefuzu Kwa Kombe La Bara Afrika AFCON 2023
”Mmeandika historia kwani hii ni mara yetu ya 3 kufuzu tangu kuanzishwa kwa mashindano haya. Nawatakia kila la kheri.”
-

Jeshi: Ali Bongo Yuko ”Huru Kufanya Anachotaka”
Rais wa mpito wa Gabon Jenerali Brice Oligui sasa ametangaza Ali Bongo yuko ‘huru’ na anaweza kuondoka nchini. Jenerali Oligui amesema hayo katika taarifa kwa vyombo vya habari iliyosomwa moja kwa moja Jumatano jioni kwenye…
-

Africa Imehimizwa Kutumia Nishati Jadidifu
Viongozi wa Afrika wametaka mabadiliko makubwa katika mfumo wa fedha wa kimataifa na kuihimiza jumuiya ya kimataifa kuunga mkono ongezeko la nishati jadidifu.







