Kevin Sewe
-

China Yazindua Kinywaji Chake Maarufu, Fenjiu Nchini Kenya
Wakenya wanaopenda bidhaa za Uchina sasa wana sababu ya kutabasamu baada ya Uchina kuzindua kinywaji chake cha kitamaduni maarufu kama Fenjiu
-

Kenyan sprinter Otieno eyes Olympic return after doping ban
Otieno tested positive for the banned anabolic steroid methasterone and was suspended from the Tokyo Games in 2021 moments before he was due to compete in the 100m heats.
-

Karim Mandonga Afungiwa Kushiriki Ndondi ili Kufanyiwa Uchunguzi wa Akili
Tume ya Udhibiti wa Mchezo wa ndondi ya kimataifa Tanzania (TPBRC) imemsimamisha kwa muda bondia maarufu Karim ‘Mtu kazi’ Mandonga kwa ajili ya kupimwa afya yake katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
-

Chimbuko La Wagner Na Harakati Za Yevgeny Prigozhin Urusi
Yevgeny Prigozhin mwenye umri wa miaka 62, mkuu wa mamluki wa Urusi Wagner, amejipatia umaarufu kutokana na mchango wake katika vita vya Ukraine
-

Karim Mandonga Apigwa Na Bondia Moses Golola Wa Uganda (video)
Ikumbukwe ndani ya siku nane, Mandonga amepigana mapambano mawili na amepoteza yote
-

Maandamano Kenya: Nairobi Expressway Yasitishwa Kwa Muda Baada Ya Kuharibiwa Kwa Kuta Zake
Sehemu ya Nairobi Expressway mnamo Jumatano, Julai 12, alifungwa kwa muda baada ya waandamanaji wanaopinga serikali kuharibu baadhi ya sehemu maeneo ya mlolongo, Kaunti ya machakos.
-

Moja Kwa Moja: Mtu Mmoja Auawa Katika Maandamano Yanayoendelea Kenya
Ghasia zilizuka katika uwanja wa Kamukunji jijini Nairobi baada ya maafisa wa polisi wa kupambana na waandamanaji kujitokeza katika ukumbi huo na kuwavuruga waliokuwa wamejitokeza kufanya maandamano Maafisa hao walitupa vitoa machozi kuwatawanya vijana waliokuwa…
-

Mashirika Kadha Kuandaa Maandamano Sambaba Na Azimio
Kiongozi wa azimio Raila Odinga ametangaza rasmi kuwa siku ya Jumatano tarehe 12/7/2023, kikosi chake kitarejea tena uwanajani
-

Madaktari Kenya Wabuni Teknologia Ya Kuzuia Uvujaji Damu wakati wa kujifungua
Madaktari katika Hospitali ya Kaunti Ndogo ya Malindi katika Kaunti ya Kilifi wamekuja na ubunifu ambao utasaidia kupunguza Kuvuja damu kwa PostPartum yaani PPH miongoni mwa wanawake.
-

Sebastien Ogier Aibuka Bingwa Wa WRC Safari Rally 2023
Bingwa mara nane wa dunia Sebastien Ogier ndiye mshindi wa Safari Rally ya Ubingwa wa Dunia wa WRC mwaka huu. Ogier alikuwa akishirikiana na mwenzake Vincent Landais.







