Kevin Sewe
-

Rais Raisi wa Iran amefariki kwenye ajali ya ndege
Rais wa Iran Ebrahim Raisi amethibitishwa kuangamia kwenye ajali ya ndege aina ya helikopta aliyokuwa ameabiri pamoja na waziri wake wa masuala ya nchi za kigeni na wengine. Ndege hiyo ilianguka katika eneo la milima…
-

Saudi Arabia yaahirisha kunyongwa kwa raia wa Kenya
Raia wa kenya anayetarajiwa kunyongwa katika taifa la kiarabu, Saudi Arabia amepata afueni ya dakika za mwisho kufuatia kampeni kubwa ya mitandao ya kijamii.
-

Melinda Gates kujiuzulu kama mwenyekiti mwenza Bill & Melinda Gates Foundation.
Melinda French Gates amesema atajiuzulu kama mwenyekiti mwenza wa Bill & Melinda Gates Foundation. “Huu sio uamuzi ambao nimekuja kwa urahisi,” Bi Gates aliandika katika taarifa iliyotumwa kwa X Jumatatu. Siku yake ya mwisho ya…
-

Ripoti ya mkaguzi mkuu wa Hesabu Zanzibar yaonesha dosari kwenye matumizi ya umma
Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu CAG Zanzibar imebainisha kuendelea kwa vitendo vya ufisadi katika wizara, taasisi na mashirika mbalimbali ya umma.
-

Madaktari wasitisha mgomo Kenya
Haya yanajiri baada ya Mahakama ya Ajira na Mahusiano ya Kazi kuamuru chama cha wafanyakazi na serikali kuja na kanuni inayokubalika ya kurejea kazini kufikia Jumatano.
-

Wafanyakazi wa Kenya Airways waliozuiwa DRC waachiliwa
Wafanyakazi wa Shirika la ndege la Kenya Airways waliokuwa wamekamatwa katika nchi ya Kidemokrasia ya Congo wameachiliwa huru, afisa mwandamizi kutoka wizara ya mambo ya nje nchini Kenya amesema.
-

Tahadhari ya Kimbunga Hidaya yatolewa Kenya na Tanzania
“Huenda Kenya ikakabiliwa na kimbunga cha kwanza kabisa
-

Rais Ruto amteuwa mkuu mpya wa majeshi ya Ulinzi Kenya
Kabla ya Uteuzi wake, jenerali Kahariri alikuwa naibu Mkuu wa majeshi ya ulinzi Kenya
-

Benki ya Dunia yasitisha ufadhili wa utalii Tanzania
Benki ya Dunia imesitisha ufadhili wa mradi mkubwa wa utalii nchini Tanzania kwa madai kuwa umesababisha mateso miongoni mwa maelfu ya wanakijiji.
-

UK-Rwanda migrant plan passes after parliamentary marathon
The British government’s controversial plan to send asylum seekers to Rwanda has finally been approved by Parliament earlier on Tuesday.







