DR Congo: Makumi ya watu wauawa katika uvamizi kwenye mgodi wa dhahabu
Wavamizi waliwauwa takriban watu 35 akiwemo mtoto mchanga katika shambulio kwenye mgodi wa dhahabu huko Ituri, DR Congo
Wavamizi waliwauwa takriban watu 35 akiwemo mtoto mchanga katika shambulio kwenye mgodi wa dhahabu huko Ituri, DR Congo
Bei ya vyakula duniani ilishuka kidogo mwezi uliopita baada ya kufikia rekodi yake ya juu mwezi Machi lakini imesalia kuwa juu kutokana na vita vya Ukraine
UN na mataifa kadhaa yametoa wito kusitisha vita vya Urusi nchini Ukraine, huku kukiwa hakuna uwezekano wa kufufua mazungumzo ya amani kati ya nchi hizo mbili.
Nchi za kipato cha juu zilichangia asilimia 15 ya vifo,
Mataifa ya kipato cha kati yalichangia vifo asilimia 28; mataifa ya kipato cha chini asilimia 53; na nchi zenye kipato cha chini asilimia nne.
Utafiti huo pia ulifichua kuwa wengi wa wafuasi wa Naibu Rais Ruto ni vijana wenye umri wa miaka 18-35, huku Odinga akiungwa mkono na wazee.
Wazabuni saba walishindania vazi hilo katika mnada ulioanza Aprili 20 na kumalizika Jumatano asubuhi, Sotheby’s ilisema.
Conde ni miongoni mwa maafisa wakuu 27 ambao wanakabiliwa na mashtaka ya mauaji, kulingana na hati iliyotolewa na mwendesha mashtaka wa umma Alphonse Charles Wright.
Takriban wahamiaji 2,000 walitoweka au kufariki katika bahari ya Mediterania mwaka jana, kutoka 1,400 mwaka uliopita, kulingana na Shirika la Kimataifa la Uhamiaji.
Zaidi ya wakimbizi wapya 36,000 waliwasili Niger kati ya Januari na katikati ya Aprili kufuatia ghasia nchini Mali, Nigeria na Burkina Faso, na kufanya idadi yao kufikia karibu 360,000 UNHCR imesema
Zaidi ya watu 40,000 wameuawa na takriban watu milioni 2.2 wamekimbia makazi yao kutokana na mapigano yaliyodumu kwa muongo mmoja kaskazini mashariki mwa Nigeria