Ukame katika Pembe ya Afrika huenda ukawasababishia njaa watu milioni 20
Umoja wa Mataifa unasema eneo la Pembe ya Afrika unakabiliwa na ukame mbaya zaidi katika miaka 40.
Umoja wa Mataifa unasema eneo la Pembe ya Afrika unakabiliwa na ukame mbaya zaidi katika miaka 40.
Wanaharakati wa kiraia wana wasiwasi kwamba Musk,atawaruhusu watu wenye msimamo mkali waliopigwa marufuku kurudi kwenye jukwaa hilo.
Nagaenthran K. Dharmalingam alikamatwa mwaka wa 2009 kwa kusafirisha kiasi kidogo cha heroini, na alihukumiwa kifo mwaka uliofuata.
Dieudonne Ishimwe, maarufu kama Prince Kid, alitiwa mbaroni kwa tuhuma za “uhalifu unaohusiana na unyanyasaji wa kijinsia,” Ofisi ya Upelelezi ya Rwanda (RIB) ilisema.
Jeffrey Craigen alichapisha video akicheza Haka, akiwa uchi juu ya Mlima Batur, mlima unaochukuliwa kuwa takatifu na Wabalinese wengi.
Mamlaka ya Nigeria Jumatatu ilikusanya maiti za watu zaidi ya 100 waliokufa katika mlipuko uliotokea kwenye kiwanda haramu cha kusafishia mafuta kusini mwa nchi hiyo
Kukamatwa kwa kokeini imekuwa jambo la kawaida katika Pwani ya Atlantiki ya Afrika Magharibi,eneo linalotumika kwa usafirishaji wa dawa za kulevya kutoka Amerika Kusini kuelekea Uropa.
Kampuni hiyo huenda ikasitisha huduma zake kutokana na agizo la hivi karibuni la kutozwa ada ya huduma ya 15%.
Ni kawaida kwa mtandao wa Youtube kufungia Channel zilizoripotiwa kudukuliwa, Youtube huzifuta channel zilizoripotiwa kudukuliwa hadi wanafanye uhakiki wa mmiliki halali wa channel hiyo.
Baada ya mgonjwa mmoja kufanyiwa uchunguzi, THC kiungo kikuu cha bangi kinachoathiri akili,kilipatikana kwenye damu yake