Author: Maureen Medza
Wanane wafa maji wakikimbia mashambulizi ya magenge katikati mwa Nigeria
Kaskazini-magharibi na katikati mwa Nigeria ni kitovu cha magenge ya wahalifu wenye silaha kali ambao huvamia vijiji, na kuua na kuwateka nyara wakazi baada ya kupora na kuchoma nyumba zao.
Maelezo muhimu kuhusu timu za Afrika zilizofuzu kwa Kombe la Dunia Qatar 2022
Hili ni Kombe la Dunia la kwanza kufanyika Mashariki ya Kati na litaanza Novemba 21 na fainali inatarajiwa kufanyika Desemba 18.
Idadi ya waliofariki kutokana na UVIKO-19 nchini Afrika Kusini yafikia 100,000
Afrika Kusini ndio nchi iliyoathiriwa zaidi barani Afrika kutokana na UVIKO 19, ikihesabu zaidi ya visa milioni 3.7 vya maambukizi ya ugonjwa wa coronavirus ikiwa ni zaidi ya asilimia 30
Misri yawasilisha malalamiko kuhusu tabia ya mashabiki baada ya kupoteza mechi yao na Senegal
Siku ya Jumanne, Pharoahs wa Misri walikosa nafasi ya kucheza Kombe la Dunia nchini Qatar baada ya kushindwa na Senegal katika Uwanja wa michezo wa Diamniadio huko Dakar.
Mahakama ya juu nchini Kenya kutoa uamuzi kuhusu mpango wa BBI
Jopo la majaji saba katika Mahakama ya Juu itafanya uamuzi kuhusu uhalali wa mapendekezo hayo kufuatia kukataliwa kwake na Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufaa
Faida ya kampuni ya chanjo ya BioNTech iliongezeka pakubwa mwaka wa 2021
Kampuni ya BioNTech iliyoko Mainz ilisema ilipata faida ya jumla ya euro bilioni 10.3 (dola bilioni 11.5) mwaka jana, kutoka euro milioni 15 mnamo 2020
Mwalimu katika shule ya Pakistan auawa kwa ‘kukufuru’ polisi wasema
Inasemekana jamaa alikuwa ameota kwamba mwanamke aliyekufa “amemkufuru” Mtume Mohammed, maafisa walisema,
Vurugu na ghasia baada ya Nigeria kushindwa kufuzu kwa Kombe la Dunia 2022
Ghana ilibandua nje wenyeji kwa kulazimisha sare ya 1-1 na kushinda mchezo wa hatua ya muondoano na kuondoa matumaini ya Nigeria ya kucheza Kombe la Dunia baadaye mwaka huu.
Wanajeshi 8 wa kulinda amani wa UN wamefariki katika ajali ya helikopta nchini DR Congo
Wanajeshi wanane waliuawa Jumanne wakati helikopta ya Puma ilipoanguka DR Congo