Mji mkuu wa Israel,Tel Aviv umetajwa kuwa mji ghali zaidi kwa mtu yeyote kuishi
Kupanda kwake hadi nambari ya kwanza kunatokana na nguvu ya sarafu ya Israeli shekel dhidi ya dola
Kupanda kwake hadi nambari ya kwanza kunatokana na nguvu ya sarafu ya Israeli shekel dhidi ya dola
Mfumo huu unategemea matumizi ya gololi ambazo hutumbukizwa kwenye debe lillilotengenezwa kwa chuma
Daktari wa upasuaji nchini Austria ambaye alishtakiwa kwa kukata mguu ambao haukustahili kukatwa wa mgonjwa sasa anakabiliwa na mashtaka. Mapema…
Waziri Mkuu wa zamani wa Lesotho Thomas Thabane ameshtakiwa kwa mauaji ya mke wake
Inakadiriwa kuwa 37% ya idadi ya watu wote duniani, karibu watu bilioni 2.9, hawajawahi kutumia mtandao
Strickland aliwaambia polisi kuwa alikuwa nyumbani akitazama televisheni. Hakuna ushahidi wowote uliowahi kumhusisha na uhalifu huo.
Rais wa Congo Felix Tshisekedi ameidhinisha wanajeshi wa Uganda kuingia DR Congo kusaidia kupambana na kundi la waasi la ADF
Kirusi kipya Omicron kilikuwepo Ulaya kabla kisa cha kwanza kuripotiwa Afrika Kusini, data mpya imethibitisha
Sudan imeachilia huru kundi jingine la wanaharakati, wanasiasa na viongozi wa mashirika ya kiraia, walioshikiliwa baada ya mapinduzi ya Oktoba 25
China inawekeza zaidi barani Afrika kuliko mataifa mengine ya Ulaya na ni mshirika mkubwa zaidi wa kibiashara wa Afrika