Skip to content

Subscribe to access premium content

Subscribe
  • YouTube
  • X
  • Instagram
  • Facebook
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • Alawiti mtoto wa miaka mitano kutokana na imani za kishirikina

    Alawiti mtoto wa miaka mitano kutokana na imani za kishirikina

    Asia Gamba
    June 9, 2022

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, ACP Ali Makame Hamad, amesema tukio hilo lilitokea Juni 3, 2022, ambapo mtuhumiwa  anadaiwa kumvizia binti huyo njiani na kumkamata, kisha kutekeleza kitendo chake kwenye vichaka vilivyopo jirani na…

  • Bondia wa Afrika Kusini afariki dunia kutokana na jeraha la ubongo

    Bondia wa Afrika Kusini afariki dunia kutokana na jeraha la ubongo

    Maureen Medza
    June 9, 2022

    Bondia wa uzani mwepesi Simiso Buthelezi, 24, alifariki dunia baada ya kuvuja damu kwenye ubongo kufuatia pambano lililofanyika mwishoni mwa juma mjini Durban

  • Mawaziri wa Jinsia kutoka SADC wanatarajia kukutana kesho nchini Malawi

    Mawaziri wa Jinsia kutoka SADC wanatarajia kukutana kesho nchini Malawi

    Asia Gamba
    June 9, 2022

    Kwa mujibu wa taarifa ya Sekretarieti ya Sadc kwa vyombo vya habari jana, mkutano huo utakaokuwa chini ya uenyekiti wa Waziri wa Jinsia, Maendeleo na Ustawi wa Jamii wa Malawi, Patricia Kaliati, utafuatilia utekelezaji wa…

  • Wanajihadi waua 23 kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Wanajihadi waua 23 kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Maureen Medza
    June 9, 2022

    Machafuko ya wanajihadi yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 40,000 na wengine milioni mbili kuyahama makazi yao kaskazini-mashariki tangu 2009, kulingana na UN.

  • Watoto wanaokufa wanaakisi hali mbaya ya ukame nchini Somalia

    Watoto wanaokufa wanaakisi hali mbaya ya ukame nchini Somalia

    Maureen Medza
    June 9, 2022

    Mvua ilipokosa kunyesha kwa msimu wa nne mfululizo mwezi uliopita, mashirika ya misaada ya UN walionya kuwa njaa huenda ikakumba nchi za Somalia, Kenya na Ethiopia

  • Shauri la Tozo za Miamala lililofunguliwa na LHRC laondolewa mahakamani

    Shauri la Tozo za Miamala lililofunguliwa na LHRC laondolewa mahakamani

    Asia Gamba
    June 9, 2022

    Uamuzi huo ulifikiwa mahakamani hapo chini ya jopo la majaji watatu wakiongozwa na Jaji John Mgeta kwa kusaidiana na Jaji Edwin Kakolaki na Jaji Zahra Maruma.

  • WHO yasema watoto 38 wanauhitaji wa kupandikizwa Ini

    WHO yasema watoto 38 wanauhitaji wa kupandikizwa Ini

    Asia Gamba
    June 9, 2022

    Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Dkt. Tedros Ghebreyesus amesema hayo jana akizungumza na waandishi wa habari jijini Geneva, Uswisi, mkutano ambao huwa mahsusi kwa ajili ya kutoa ripoti kuhusu mwelekeo wa ugonjwa wa Corona taarifa nyingine. 

  • Kenya: “Hatutafunga mitandao ya kijamii wakati wa uchaguzi” Waziri wa Usalama wa Ndani

    Kenya: “Hatutafunga mitandao ya kijamii wakati wa uchaguzi” Waziri wa Usalama wa Ndani

    Maureen Medza
    June 8, 2022

    Waziri wa Usalama wa Ndani Fred Matiang’i alisisitiza msimamo huo alipokuwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa warsha ya mikakati ya Kitaifa ya usalama wa mtandao 2022-2026.

  • Tanzania kuendelea kutoa ruzuku kwenye mafuta hadi bidhaa hiyo itakaposhuka bei

    Tanzania kuendelea kutoa ruzuku kwenye mafuta hadi bidhaa hiyo itakaposhuka bei

    Asia Gamba
    June 8, 2022

    Serikali ilianza kutoka zuruku ya shilingi bilioni 100 mwezi huu na kuleta ahueni kwenye bei za nishati ya mafuta ambapo Petroli ilipungua kwa shilingi 152 hadi 306 na dizeli shilingi 320 hadi 488 kutegemeana na…

  • Nigeria: Wajumbe wa chama tawala wapiga kura kumchagua mgombeaji wa uchaguzi wa urais wa 2023

    Nigeria: Wajumbe wa chama tawala wapiga kura kumchagua mgombeaji wa uchaguzi wa urais wa 2023

    Maureen Medza
    June 8, 2022

    Zaidi ya wajumbe 2,300 wa APC walipiga kura kumchagua mgombea atakayekabiliana na Atiku Abubakar wa chama cha upinzani cha Peoples Democratic Party (PDP) katika kura ya urais ya Februari 25 2023

Previous Page
1 … 566 567 568 569 570 … 729
Next Page
Latest News
  • November 25, 2026

    .

    Victor Kayanda

    Upinzani Kenya watoa masharti mapya kwa IEBC kabla ya Uchaguzi Mkuu

  • November 25, 2026

    .

    Wadh Kassim

    IEBC Orders 2027 Presidential Aspirants In Public Office To Quit Six Months Before Poll

  • November 24, 2026

    .

    Kevin Sewe

    Senegal regain AFCON title after appeal: sports court

  • November 24, 2026

    .

    Kevin Sewe

    Young protesters hit the streets across Europe

  • November 24, 2026

    .

    Wadh Kassim

    Gov’t Orders 90-Day Probe Into 687 School Unrest Cases

Search
Featured
  • Kenyan Court Demands Answers From DCI Boss Over Missing Tanzanian Activist

    November 23, 2026
  • Uganda lawyers demand army chief present alleged abductees

    November 20, 2026
  • Amnesty Slams Tundu Lissu’s Incitement Conviction As A ‘Travesty Of Justice’

    November 10, 2026
Useful Links
  • Privacy Policy
  • Terms and Conditions
  • Contact Us
Topics
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • YouTube
  • Instagram
  • X
  • Facebook
  • LinkedIn

Mwanzo TV | Copyright © 2026 | All Rights Reserved

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policy