Africa
-

Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumnajisi mtoto wake wa kambo
Budeba alihukumiwa kifungo hicho katika mahakama hiyo baada ya kusikilizwa ushahidi ukiwamo wa mtoto, mama mzazi, majirani na daktari aliyempima mtoto huyo.
-

Dereva maarufu kwa jina la ‘Ndugu abiria’ kulipwa fidia ya milioni 150 baada ya picha yake kutumiwa kibiashara
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni imeiamuru Kampuni ya udalali ya Dexter Insurance kumlipa dereva wa Kampuni ya New Force, Waubani Linyama maarufu kwa jina la ‘Ndugu abiria’, fidia ya shilingi 150 milioni kwa kosa la…
-

Rais wa Sri Lanka aliyefukuzwa kutafuta hifadhi nchini Thailand
Rajapaksa alikimbilia Maldives mnamo Julai 13 na kisha Singapore, ambapo alitangaza kujiuzulu baada ya miezi kadhaa ya maandamano juu ya kuzorota kwa uchumi wa nchi hiyo.
-

Soko la Njombe kuwa na kituo maalum cha kulelea watoto
Akizungumzaia ujenzi wa soko hilo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amesema ujenzi wa soko hilo umegharimu 10.2 bilioni.
-

Wakenya wasubiri matokeo ya Urais kwa hamu na ghamu
Wakenya, ambao baadhi yao walijipanga kabla ya alfajiri kupiga kura hapo jana, walipiga kura katika chaguzi sita na kumchagua rais mpya pamoja na maseneta, magavana, wabunge, wawakilishi wanawake na baadhi ya maafisa 1,500 wa kaunti.
-

Kenya: Uchaguzi wenye matumini ya mabadiliko
Zaidi ya watu milioni 22, takriban asilimia 40 kati yao wakiwa chini ya umri wa miaka 35, wamejiandikisha kupiga kura katika uchaguzi huu uliokumbwa na hali ya kuongezeka kwa mfumuko wa bei, ukame unaoadhibu na…
-

Papua New Guinea prime minister Marape re-elected
Papua New Guinea’s Prime Minister James Marape was sworn in for a second term Tuesday, after an election hit by violence.
-

Pasi za kusafiria kikwazo kwa Wakenya wanaopiga kura uchaguzi wa Kenya
Upigaji kura huo umefanyika leo Agosti 9, 2022 katika Ubalozi wa Kenya nchini Tanzania, ukihusisha vituo viwili vilivyoandikisha wapigakura 496 kila kimoja kwa Jiji la Dar es Salaam.
-

‘Baba’ Odinga: Kenya’s diehard presidential hopeful
Odinga, who was born on January 7, 1945 and is fondly known as “Baba” or “daddy” in Swahili, is now caught in a complex balancing act.
-

Rais Samia: Kila la kheri Wakenya
Amewataka Wakenya “kudumisha amani, umoja na mshikamano” na kuongeza “kila la kheri”.







