Lissu: “No Reform, No Election Ulikuwa Msimamo wa CHADEMA, Si Mpango wa Uhaini”
Lissu amesema suala la uchaguzi na Katiba lilikuwa sehemu ya mjadala mpana ndani ya CHADEMA, na kwamba msimamo wa “No Reform, No Election” haukuanzishwa na yeye binafsi.
Lissu amesema suala la uchaguzi na Katiba lilikuwa sehemu ya mjadala mpana ndani ya CHADEMA, na kwamba msimamo wa “No Reform, No Election” haukuanzishwa na yeye binafsi.
Waraka kutoka kwa msimamizi mkuu wa idara ya mahakama ulisema: “Kwa sababu za kiusalama, wafanyakazi wote wanashauriwa kutofika kazini leo.”
A memorandum from the chief administrator of the judiciary said that “for security reasons, all members of staff are advised not to report for work today”.
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amesema kesi ya uhaini inayomkabili ni mwendelezo wa kesi mbalimbali za kisiasa ambazo amedai amekuwa akifunguliwa na Serikali kwa miaka mingi kutokana na misimamo na shughuli zake za kisiasa.
Cosplay has taken hold in Kenya, where fans must often get creative to dress up as their fantasy heroes.
Lissu amekuwa shahidi wa kwanza wa utetezi na ameanza kutoa ushahidi wake chini ya kiapo, akieleza kuwa hajawahi kutoa ushahidi mahakamani na hivyo kuomba aongozwe katika hatua hiyo.
Zambian police summoned opposition leader Brian Mundubile late Thursday for questioning over an alleged national security threat, days after an election marked by a crackdown on dissent.
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, anatarajiwa kuanza kujitetea leo, Ijumaa Agosti 21, 2026, katika kesi ya uhaini inayomkabili, huku Mahakama Kuu ikijiandaa kutoa uamuzi kuhusu pingamizi lililowasilishwa na upande wa Jamhuri dhidi ya baadhi ya mashahidi aliowataja Lissu.
The High Court of Tanzania, Dar es Salaam Zone, has ruled that the National Chairman of CHADEMA, Tundu Lissu, has a case to answer in the treason case facing him, after the prosecution established a prima facie case.
Cameroon’s President Paul Biya has returned to the country after a more than two-month absence that has fuelled fierce debate about his ability to rule after 44 years in power.