Africa
-

Five MSF workers kidnapped in Cameroon: local official, MSF
The five comprise three aid workers with Chadian, Senegalese and French-Ivorian nationalities
-

Misri yaapa kuwatunza Warusi na wa Ukraine waliokwama nchini humo
Uamuzi huo ulifuatia msururu wa kufutuliwa mbali kwa safari za ndege baada ya Urusi kupeleka wanajeshi wake nchini Ukraine.
-

Lavrov: Tuko tayari kwa mazungumzo ikiwa jeshi la Ukraine litajisalimisha
Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov leo amesema kuwa Moscow iko tayari kwa mazungumzo ikiwa jeshi la Ukraine litajisalimisha, huku akisisitiza kuwa vikosi vya wavamizi vinalenga kuikomboa nchi hiyo kutoka kwa “ukandamizaji”.
-

KENYA: Mwanafunzi ahukumiwa jela miaka mitano kwa kosa la kuua bila kukusudia
Msichana mmoja raia wa Kenya amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la kuua bila kukusudia kufuatia kuchoma moto katika bweni la shule na kuua wenzake tisa.
-

China yaunga mkono kutatua mgogoro wa Ukraine kwa mazungumzo
Televisheni ya taifa ya China CCTV imeripoti kuwa rais wa nchi hiyo, Xi Jinping, amemwambia mwenzake wa Urusi Vladimir Putin kwamba Beijing inaunga mkono Moscow katika juhudi za kutatua mgogoro wa Ukraine.
-

Hakuna Mtanzania aliyepata madhara yoyote nchini Ukraine
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imesema kuwa hadi sasa hakuna Mtanzania aliyepata madhara yoyote kufuatia hali inayoendelea nchini Ukraine na kusababisha Serikali…
-

Auawa baada ya kutaka kumbaka Mwanafunzi wa kidato cha pili.
Kijana anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka kati ya 18 hadi 22 ameuawa na mwili wake kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali waliodai kuwa kuwa alijaribu kutaka kumbaka mwanafunzi wa kidato cha pili katika…
-

Umoja wa Afrika walaani mashambulizi ya Urusi dhidi ya Ukraine
Mwenyekiti wa sasa wa muungano huo, Rais wa Senegal Macky Sall amesema ‘ana wasiwasi mkubwa’ na uvamizi huo.
-

Five African Presidents Launch Global Fund’s US$18 Billion Campaign to Restore Progress Against AIDS, TB and Malaria Amid COVID-19 Disruption
“In the face of the catastrophic impact of COVID-19 on the fight against HIV, TB and malaria, the choice is stark: We either increase funding, or we abandon hope of finally defeating these epidemics by 2030,”…
-

Waziri Mkuu wa zamani wa Guinea-Bissau apigwa marufuku kuondoka nchini humo
Pereira, alishindwa katika uchaguzi wa urais wa 2019 na Embalo, ndiye kiongozi wa Chama cha African Party for the Independence of Guinea and Cape Verde (PAIGC).







