Shahidi Aeleza Hotubu Ya Lissu Ilivyomshawishi Kuunga Mkono Agenda Ya “No Reform No Election”
Shahidi alidai kauli hiyo ilimpa hamasa ya kuwahamasisha vijana wenzake wa mtaani zoezi ambalo alilifanya Aprili 8, 2025 katika eneo la Njoro maarufu Pepsi.Hata hivyo wakati akiendelea na zoezi hilo kuwahamasisha ghafla alikamatwa na Polisi huku wenzake wakikimbia