LHRC yalaani tukio la askari aliyemuaa raia huko Kigoma nchini Tanzania
Katika taarifa iliyotolewa leo na LHRC, imeeleza kwamba Pamoja na mamlaka waliyopewa Jeshi la Polisi ya kutuliza ghasia, bado jeshi hilo linawajibika kuheshimu, kuzingatia na kulinda misingi, kanuni, taratibu na miongozo mbalimbali ya utendaji kazi wa Jeshi hilo