East Africa
-

Golugwa Amaliza Kutoa Ushahidi, Akataa Baadhi ya Hoja za Jamhuri Kuhusu Kauli za Lissu
Golugwa alipinga hoja kwamba vurugu zilizotokea siku ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 zilisababishwa na kauli za Lissu. Alisema si kweli, akieleza kuwa chama kilizuiwa kufanya shughuli zake za kisiasa na kwamba hotuba ya Lissu…
-

Tanzanian President Samia Suluhu’s husband, Hafidh Ameir, is dead
His death was announced on Monday, September 7, 2026, by Vice President Deogratius Ndejembi.
-

Uganda holds burial procession for world’s ‘youngest’ king
The body of Ugandan King Oyo Nyimba Kabamba Iguru Rukidi IV, recognised as the world’s youngest reigning monarch, arrived back in Uganda on Friday following his death in the United States at age 34.
-

Jamhuri Yamuhoji Golugwa Kuhusu Madai ya Uchaguzi
Golugwa amekiri kuwa katika taarifa hizo kulikuwa na msimamo wa Chadema wa kutoshiriki uchaguzi hadi Serikali itakaposhinikizwa kufanya mabadiliko. Alipoulizwa ni nani aliyepaswa kushinikizwa, alijibu kuwa ni Serikali.
-

Golugwa: Kesi Dhidi ya Lissu Ililenga Kuzima Operesheni ya ‘No Reforms No Elections’
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara ndugu Amani Golugwa ameendelea leo kutoa ushahidi wake wa utetezi dhidi ya Tundu Lissu huku akiweka mkazo wenye msisitizo kwamba tuhuma zinazomkabili Mwenyekiti wao ni tuhuma za uongo na…
-

East Africa’s digital health shift puts AI and hospital tech on procurement agenda at WHX in Nairobi
East Africa’s healthcare sector is moving from digital health pilots to everyday implementation, with providers adopting AI-supported diagnostics, telemedicine, hospital management systems and connected devices to improve access, efficiency and continuity of care. Governments and…
-

President Ruto orders crackdown on foreigners running small businesses in Kenya
The President, Dr. William Ruto, has ordered a crackdown on foreigners running small businesses in Kenya, directing the government to begin the exercise on Monday, September 7.
-

Mnyika Amaliza Kumtetea Lissu, Akomaa na “Mashtaka Dhidi ya Lissu ni Uongo”
Shahidi wa pili wa upande wa utetezi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, John Mnyika, amemaliza kutoa ushahidi wake mbele ya Mahakama, akisisitiza kuwa baadhi ya…
-
Tone Tone Ya Chadema Yaibuka Kesi Ya Lissu, Jamhuri Yachimba Matumizi Ya Pesa Hizo
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ameiambia Mahakama kuwa kampeni ya “Tone Tone” iliyoanzishwa na chama hicho imekusanya Shilingi milioni 302 hadi sasa.








