Lissu aongoza matokeo uchaguzi wa Chadema, Mbowe akubali
Licha ya kuwa hakujatangazwa matokeo ya jumla lakini matokeo yanaonyesha ushindi wa Lissu dhidi ya wapinzani wake Freeman Mbowe na Odero Odero.
Licha ya kuwa hakujatangazwa matokeo ya jumla lakini matokeo yanaonyesha ushindi wa Lissu dhidi ya wapinzani wake Freeman Mbowe na Odero Odero.
Although the official results are yet to be announced, Mbowe expressed his respect for the process and his support for Lissu’s potential leadership.
The outcome of this election could shape the future of Chadema and Tanzanian opposition politics.
Mwamwembe: Natamani Lissu ashinde, Chadema inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu.
Godbless Lema, the former Arusha town MP, and prominent voice within the opposition party CHADEMA has publicly thrown his weight behind Tundu Lissu’s chairmanship bid.
Waswahili wanasema leo ndio leo, inyeshe mvua liwake jua lazima kieleweke hivi ndivyo unaweza kusema leo katika Mkutano Mkuu wa Chadema ambapo wanachadema wanaamua hatma yao katika safu yao ya uongozi ni nani ataongoza gurudumu la chadema kama Mwenyekiti Taifa.
The Lissu-Heche ticket is pivotal in seeking to bring about real and fundamental change and a shake-up to the political scene as they are both considered reformists
Mgombea wa tatu ni Charles Odero, ambaye wachambuzi wa siasa wanahoji hana nafasi kamwe ya kuwa mwenyekiti.
Ameeleza pia msukumo wake wa kutia nia ya kugombea nafasi hiyo umetokana na changamoto wananchi wanazopitia.
Kabogo has called on responsible use of social media, amid online criticisms of President William Ruto’s administration.