Kabendera akusudia kukata rufaa kesi yake dhidi ya Vodacom
Katika kesi hiyo Kabendera aliyewakilishwa na Wakili Peter Madeleka alikuwa akiituhumu Vodacom kufanikisha kukamatwa kwake akieleza kama ‘kutekwa’ na hatimaye kufunguliwa kesi hiyo ya uhujumu Uchumi mwaka 2019.