M23 yafuta mazungumzo ya amani na serikali ya DRC kwa sababu ya vikwazo
Kikundi cha M23 kilichopatiwa msaada na Rwanda kimesema hakiwezi kushiriki katika mazungumzo ya amani na serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) yaliyopangwa kufanyika leo Jumanne mjini Luanda, mji mkuu wa Angola, kufuatia vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya baadhi ya viongozi wake wakuu.