Man City kupanua Uwanja wa Etihad hadi kufikia zaidi ya watu 60,000
Mipango hiyo itaongeza takriban viti 7,000 kwenye uwanja huo pamoja na eneo jipya la mashabiki, duka la vilabu, jumba la makumbusho na hoteli ya vitanda 400.
Mipango hiyo itaongeza takriban viti 7,000 kwenye uwanja huo pamoja na eneo jipya la mashabiki, duka la vilabu, jumba la makumbusho na hoteli ya vitanda 400.
Kiongozi wa Chama cha Kitaifa cha Uskoti (SNP) ndiye Waziri wa Kwanza mwenye umri mdogo zaidi kuwahi kutokea na wa kwanza kutoka katika makabila madogo
Kiungo wa kati wa Manchester city Kevin De Bruyne amethibitishwa kuwa nahodha mpya wa timu ya taifa ya Ubelgiji kufuatia kustaafu kwa Eden Hazard.
Watu zaidi ya 7 wameripotiwa kuuawa kwa kupigwa risasi kwenye jumba la mikutano la Jehovah Witness katika jiji la Hamburg kaskazini mwa Ujerumani.
Bunge la Georgia kwa kauli moja limepiga kura ya kuutupilia mbali mswada tata iliyokuwa imeipitisha hapo awali.
Museveni alisema Uganda ilijizuia na kuchukua msimamo wa kutoegemea upande wowote wakati suala la Urusi na Ukraine lilipokuja kujadiliwa katika Umoja wa Mataifa.
Maafisa walikuwa wamekanusha kuwa Biden angezuru Ukraine wakati wa safari yake ya kuelekea Ulaya mashariki.
Ractliffe mwenye umri wa miaka 70 na kampuni yake tayari wamewasilisha ofa ya kutaka kununua asilimia 69 ya kuinunua Man United.
Atsu mwenye umri wa miaka 31,alipatikana ameaga dunia katika vifusi vya nyumba yake mjini Hatay Uturuki kufuatia tetemeko la ardhi lilotokea Februari 6 na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 4,000 huku maelfu ya wengine wakipata majeraha.
Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, nchini Tanzania, Dk Stergomena Tax mtanzania huyo alikwenda nchini Urusi mwaka 2020 kwa ajili ya masomo ya shahada ya uzamili katika fani ya biashara, lakini mwezi machi 2022 alipatikana na hatia ya uhalifu na kuhudukumiwa kifungo cha miaka 7.