Netanyahu akubali shinikizo la kuidhinisha makubaliano ya kusitisha vita
Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israeli, amesema kuwa maafisa wa serikali yake wameafikiana kuhusu mpango wa kusitisha mapigano Gaza na kuachiliwa kwa mateka licha ya mivutano iliyoshuhudiwa dakika za mwisho.