Middle East
-

Rais Raisi wa Iran amefariki kwenye ajali ya ndege
Rais wa Iran Ebrahim Raisi amethibitishwa kuangamia kwenye ajali ya ndege aina ya helikopta aliyokuwa ameabiri pamoja na waziri wake wa masuala ya nchi za kigeni na wengine. Ndege hiyo ilianguka katika eneo la milima…
-

Israel army says friendly fire killed five soldiers in north Gaza
The Israeli military said Thursday that friendly fire had killed five soldiers the previous day in the northern Gaza Strip, where intense fighting in the Israel-Hamas war has resumed in recent days.
-

Saudi Arabia yaahirisha kunyongwa kwa raia wa Kenya
Raia wa kenya anayetarajiwa kunyongwa katika taifa la kiarabu, Saudi Arabia amepata afueni ya dakika za mwisho kufuatia kampeni kubwa ya mitandao ya kijamii.
-

Joe Biden To Netanyahu- Protect Civilians Or Else
Israel will allow a “temporary” delivery of aid through its border with the northern Gaza Strip, Prime Minister Benjamin Netanyahu’s office announced on Friday.
-

ICJ kusikiliza kesi ya Kihistoria ya mauaji ya kimbarı ya Afrika Kusini dhidi ya Israel
Kesi ya mauaji ya halaiki iliyowasilishwa na Afrika Kusini dhidi ya Israel katika Ukanda wa Gaza inasikilizwa, leo Alhamisi, Januari 11, na pia Ijumaa, mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki huko Hague (ICJ), nchini…
-

Katibu Mkuu wa Umoja Wa Kimataifa Antonio Guterres Ahofia Hatari zaidi Gaza
Hadi sasa, wizara ya afya imesema watu 8,525 wameuawa Gaza huku 3,500, miongoni mwa hao ni watoto.
-

Nyumba ya muhindi yabomolewa baada ya kumkojolea mwanakabila
Polisi wa eneo hilo walisema Shukla alikamatwa na kufunguliwa mashtaka kuhusiana na shambulio hilo, ambalo linaweza kumfanya atozwe faini na kufungwa jela mwaka mmoja.
-

Tanzania to enter into an agreement with DP World for the development of Dar es Salaam port
The port of Dar es Salaam is the main commercial gateway of Tanzania. Approximately 95 percent of Tanzania’s international trade is served by this port.
-

Earthquake kills more than 4,800 in Turkey, Syria
The first massive 7.8-magnitude quake struck early Monday
-

Watu wengi wameuawa nchini Nepal kufuatia ajali ya ndege
Ndege iliyokuwa na watu 72 imeanguka karibu na uwanja wa ndege katikati mwa Nepal







