Court Postpones Tundu Lissu’s Treason Case Again, Decision Set for August 13
Lissu accused the prosecution of using unnecessary delays to punish him without trial
Lissu accused the prosecution of using unnecessary delays to punish him without trial
Katika kesi hiyo iliyopo mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Franco Kiswaga , Lissu amedai kwamba kuendelea kwa hatua za kuahirisha kusomwa kwa shauri hilo ni dhihirisho la namna vyombo vya sheria vinavyoweza kutumiwa kisiasa, jambo ambalo ni hatari kwa mustakabali wa demokrasia nchini.
However, several members perceived to be President Samia’s critics have been dropped from the nomination list.
The Independent Policing Oversight Authority (IPOA) said 65 people died during the protests that occurred on June 12, 17 and 25, and July 7.
Balozi Humphrey Polepole, aliyewahi kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameibuka kwa mara nyingine tena…
Kenyan President Dr William Ruto has pushed back against mounting calls for his resignation through growing ‘Ruto Must Go’ chants…
We have a declaration. We shall give direction to our members and supporters on what to do. It’s not over yet. Wait for our declaration.
Bunge la Ulaya leo limemshutumu Balozi wake nchini Tanzania, Bi Christine Grau, kwa kukaa kimya mbele ya ukatili wa kisiasa…
We have a similar situation in Tanzania, where the opposition leader is in jail. Yet, our ambassador stays calm and silent, and one of our foreign ministers recently praised the situation. I think that is not acceptable.
Kesi hiyo ilitajwa leo, Julai 15, 2025, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambapo Lissu alionesha wazi kutoridhishwa na hatua hiyo, akidai kuwa upande wa Jamhuri unatumia hila kuchelewesha mchakato wa haki.