Politics
-

Rais wa Burundi kugombea tena muhula ujao katika uchaguzi wa 2027
Alichaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa rais Mei 2020 katika uchaguzi uliokumbwa na tuhuma za udanganyifu na kuondolewa kwa mpinzani wake mkuu.
-

Tume yabaini mbinu 16 zilizotumika kuratibu ghasia za Oktoba 29
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, Tume imepata ushahidi unaoonyesha kuwa matukio hayo hayakutokea kwa bahati mbaya, bali yalipangwa, yaliratibiwa, yalifadhiliwa na kutekelezwa na watu waliokuwa na maandalizi ya awali, ikiwemo kupata mafunzo maalum.
-

Op-ed: The Chande Commission of Inquiry should be disregarded for want of merits
“The commission was established as an afterthought, designed to create the appearance of accountability while in fact undermining any possibility of a credible, independent investigation into the tragic events we experienced”
-

Kenya, Tanzania Na Uganda Zashutumiwa Kwa Ukandamizaji Wa Wanaharakati Nje Ya Mipaka
Kenya, Tanzania na Uganda yametajwa miongoni mwa mataifa yanayoshiriki katika ukandamizaji wa wapinzani na wanaharakati nje ya mipaka yao, ikionyesha Afrika Mashariki kama kitovu cha mashirikiano ya kiusalama yenye sura ya kiimla, kulingana na ripoti…
-

Pope Leo Comes Into His Own with Trump Spat
US President Donald Trump’s threat to destroy Iran’s centuries-old civilisation was the red line that prompted Pope Leo to show his colours, analysts say.
-

Heche:Hatuwezi kufanya mazungumzo yoyote kama Lissu yupo gerezani
“Tumeshasema wazi, mtu anayeweza kuongoza chama hiki kufanya maamuzi yoyote yuko gerezani. Mwachieni Lissu” alisema Heche
-

Miezi 10 ya kimya cha kulazimishwa: Je, Chadema wako tayari kurudi kwa nguvu?
Itakumbukwa kuwa Juni 10,2025 Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, ilizuia kwa muda shughuli za kisiasa za chama hicho Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania, baada ya aliyekuwa makamu mwenyekiti wa chama hicho upande…










