Politics
-

Kesi la Lissu: Jamhuri kutafakari uamuzi wa Mahakama kuhusu mapingamizi ya Lissu
Upande wa Jamhuri ukiwakilishwa na Wakili Mkuu wa Serikali Renatus Mkude ulisema baada ya kumaliza ushahidi wa shahidi huyo, unakwenda kutafakari maamuzi yaliyotolewa na Mahakama Kuu juu ya mapingamizi mawili ambayo yaliletwa na mshtakiwa kuhusiana…
-

Eight Controversial Laws Signed by Ruto Amid Raila’s Death Stir Uproar and Court Action
Among the most contested laws are the Computer Misuse and Cybercrimes (Amendment) Act, which gives government agencies power to block websites and the Privatization Act, which critics say allows the sale of public assets without…
-

Kesi ya Lissu:Hatima ya vielelezo vya video kesi ya Lissu kujulikana Jumatano
Lissu, ambaye anajitetea mwenyewe, anakabiliwa na shtaka la uhaini yanayodaiwa kutokana na matamshi aliyotoa Aprili 3,2025. Alikamatwa Aprili 9, 2025 mkoani Ruvuma na kisha kusafirishwa hadi Dar es Salaam, ambako anakabiliwa na kesi hiyo mbele…
-

Lissu apinga vielelezo vya ushahidi wa video kupokelewa Mahakamani
Lissu aliwasilisha hoja zake baada ya shahidi wa tatu wa upande wa Jamhuri kuendelea kutoa ushahidi wake kwa siku ya pili mfululizo, akihojiwa na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Thawabu Issa kuhusu uchunguzi wa kitaalamu alioufanya…













