Social Issues
-

Shahidi wa Nne, Brenda Rupia, Amaliza Kumtetea Lissu
Rupia pia alikiri kuwa CHADEMA inaamini katika demokrasia na kwamba Tanzania ina mfumo wa vyama vingi, huku akitambua kuwa uchaguzi mkuu unaendeshwa kwa mujibu wa Katiba na mabadiliko ya Katiba ni mchakato.
-

Mnyika: No Reforms No Elections Ilikua Chini Ya Mwenyekiti Mbowe
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, John Mnyika, ameendelea kuhojiwa kwa maswali ya dodoso na upande wa Jamhuri katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam.
-

Mnyika Atumia Hotuba Ya Nyerere Utetezi Kesi Ya Lissu, Aibua Kifo Cha Akwelina
“Kesi ni mwendelezo wa kuwabambikia viongozi wa CHADEMA kesi za uongo na mbinu za kukwamisha mabadiliko, ni matumizi yasiyo ya haki ya njia za kimahakama na kisheria dhidi ya wapinzani na CCM dhidi ya CHADEMA…
-
Lissu Ahitimisha Utetezi Baada Ya Siku Tano Mahakamani, Shahidi Mwingine Kuendelea
Lissu amepanga kuleta mashahidi 12 kwa ajili ya utetezi dhidi yake akiwemo na yeye mwenyewe huku, wengine wakiwa ni Viongozi wakuu wa serikali na Chama chake.
-

Jamhuri, Lissu Ngoma Nzito Kesi Yaahirishwa
Jamhuri imeonekana kulenga kutengeneza picha kwamba baadhi ya kauli na hoja zilizotolewa na Lissu katika utetezi wake zinapingana na ushahidi wa mashahidi wa upande wa mashtaka, huku Lissu akijibu kwa kusisitiza tafsiri yake ya matukio,…
-

Jamhuri Yambana Lissu, Maswali Ya Dodoso
Lissu amesisitiza kuwa hana wajibu wa kuthibitisha kesi hiyo, akirejea misingi ya sheria ya ushahidi.
-

Lissu Amaliza Kujitetea, Asema Hakuna Ushahidi wa Kuthibitisha Kosa la Uhaini
Lissu amewaambia majaji kwamba ushahidi alioutoa unaonyesha kuwa upande wa Jamhuri haujathibitisha vipengele muhimu vya kosa la uhaini, ikiwemo kuwepo kwa nia ya kutenda kosa hilo.









