Kesi ya afande anayedaiwa kutuma vijana kumbaka binti mkazi wa Yombo kuunguruma leo
Kesi ya afande anayedaiwa kuwatuma vijana kubaka kwa kikundi na kumwingilia kinyume na maumbile binti mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es salaam, Fatma Kigondo inakuja leo baada ya mahakama kutoa hati ya wito kwa mara nyingine Agosti 23 mwaka huu.