chadema
-

KINA MBOWE WAWEKA PINGAMIZI LINGINE TENA
Jopo la mawakili wa utetezi katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu wamepinga hati ya kukamatia mali iliyowasilishwa na Shahidi wa 8, kwa kile walichodai kuwa hati hiyo imeandaliwa kwa sheria…
-

VUTE NIKUVUTE YAIBUKA KESI YA MBOWE
Shahidi wa sita kutoka upande wa Jamhuri SSP Sebastian Madembwe, ametoa ushahidi wake mbele ya Jaji Joachim Tiganga.
-

SHAHIDI AELEZA MIPANGO YA MBOWE KUMDHURU SABAYA
Shahidi wa pili katika kesi ya Uhujumu Uchumi yenye makosa ya Ugaidi ndani yake inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu leo ameileza mahakama jinsi ambavyo Mbowe alivyokua na mkakati wa kutaka kumdhuru…
-

Kesi Ya Mbowe: Jaji adai mapingamizi yaliyoletwa na utetezi hayana mashiko
“Uamuzi mdogo uliotolewa na Jaji leo hatujaridhika nao, Uamuzi katika mapingamizi yote mawili. Jaji ambaye kwa sasa ni Jaji Kiongozi hajaonyesha uongozi wa kutenda haki. Tutakwenda kukutana kama chama kutafakari kwa kina wakati Mawakili wakishauriana…
-

Judge withdraws from the case against Tanzania’s Opposition leader Freeman Mbowe
The presiding judge, Mustafa Siyani, was recently appointed the High Court Principal Judge.
-

Another defense witness in the case against Tanzania’s Opposition leader Freeman Mbowe alleges torture
‘I was hang upside down and tortured’
-

Shahidi akomaa na majibu yake
Shahidi wa kwanza upande wa utetezi Adam Kasekwa (Mshitakiwa wa 2), amepata kigugumizi cha kujibu maswali aliyokuwa akiulizwa na Wakili wa Serikali Abdallah Chavula. Hayo yamejiri leo katika Kesi Na.16/2021 inayowakabili Freeman Mbowe na wenzake…
-

Defense witness shares a horrifying account of police torture in the case against Freeman Mbowe
Defense witness shares a horrifying account of police torture in the case against Freeman Mbowe









