chadema
-

Bunge La Ulaya Lawasilisha Rasmi Jina La Tundu Lissu Kwa Tuzo Ya Sakharov
Kwa kuwasilisha jina lake rasmi, Bunge la Ulaya linataka kuenzi ujasiri wa Lissu na kusisitiza kanuni kwamba uchaguzi una maana pale tu wananchi wanapopewa chaguo halisi la kisiasa.
-

Tundu Lissu’s Name Officially Tabled At Eu Parliament For Sakharov Honor
By officially submitting his name, the European Parliament seeks to honor Lissu’s courage and highlight the principle that elections only have meaning when citizens are offered a genuine political choice.
-

Mahakama Kutoa Hukumu Kesi ya Uhaini ya Lissu Novemba 6
Wakili Mkuu wa Serikali, Nassoro Katuga amesema ushahidi wa mashahidi 17 wa Jamhuri ukiungwa mkono na mashahidi watano wa utetezi ndio msingi wa hoja ya Jamhuri kwamba imethibitisha shtaka pasi na shaka.
-

Lissu: Mkiona Kuna Uhaini Msiogope Kutoa Hukumu Inayostahili
Lissu amesema kinyume chake, iwapo majaji wataona hakuna uhaini uliothibitishwa, wasiwe na hofu ya kusema kuwa hana hatia, akisisitiza kuwa katika shtaka la uhaini hakuna kosa dogo ambalo mshtakiwa anaweza kuhukumiwa iwapo shtaka kuu litashindwa…
-

Lissu: Kesi Ya Uhaini Ilitengenezwa Na Mtu Mmoja
Lissu amemlenga shahidi wa kwanza wa upande wa mashtaka, George Bagemu, akisema ndiye aliyeamua kwamba maneno yanayolalamikiwa katika kesi hiyo yanatengeneza kosa la uhaini.
-

Lissu: Serikali Haikutishika Kwa Maneno Ninayodaiwa Kusema
Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, ameiambia Mahakama Kuu kwamba upande wa mashtaka umeshindwa kuthibitisha kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilitishwa na maneno anayodaiwa kuyatamka, akisema kutokuwepo kwa ushahidi huo kunafanya jibu la…
-

Lissu: Kesi Ya Uhaini Dhidi Yangu Imejengwa Kwenye Msingi Wa Hisia
Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, amesema ushahidi uliowasilishwa na upande wa mashtaka haujaonyesha kwamba alikuwa na nia ya kuchochea umma kuzuia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, akidai kesi hiyo imejengwa zaidi kwenye hisia kuliko masharti…
-

Tanzania Opposition Leader Urges ‘Courage’ from Judges Ahead of Treason Verdict
Lissu told the judges that they carried “not only the weight of convicting one person” but would set a precedent for the future of the east African country.
-

Lissu: ‘Maneno Ya Kisiasa Hayawezi Kunifanya Nipatikane Na Hatia Ya Uhaini’
Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, ameiambia Mahakama Kuu ya Tanzania kuwa ushahidi uliotolewa katika kesi ya uhaini inayomkabili haujathibitisha kwamba maneno aliyoyasema katika mkutano wa kisiasa yanakidhi vigezo vya kosa la uhaini kwa mujibu wa…
-

Lissu: Kingai Amesema Hawezi Kunitetea
Kwa mujibu wa Lissu, baada ya mazungumzo hayo, Kingai alimweleza kuwa hayuko tayari kutoa ushahidi kwa upande wa utetezi, akisema yuko upande wa watu wanaotamani Lissu apatikane na hatia na atafurahi kusikia hilo.







