Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Tundu Lissu mjini Brussels
Rais Samia na Kiongozi wa CHADEMA Tundu Lissu walijadili masuala mbalimbali yenye maslahi kwa nchi ya Tanzania,
Rais Samia na Kiongozi wa CHADEMA Tundu Lissu walijadili masuala mbalimbali yenye maslahi kwa nchi ya Tanzania,
Ni shahidi wa 10 katika kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu.
Jopo la mawakili wa utetezi katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu wamepinga hati ya kukamatia mali iliyowasilishwa na Shahidi wa 8, kwa kile walichodai kuwa hati hiyo imeandaliwa kwa sheria ambayo haipo nchini Tanzania.
Shahidi wa sita kutoka upande wa Jamhuri SSP Sebastian Madembwe, ametoa ushahidi wake mbele ya Jaji Joachim Tiganga.
Shahidi wa pili katika kesi ya Uhujumu Uchumi yenye makosa ya Ugaidi ndani yake inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu leo ameileza mahakama jinsi ambavyo Mbowe alivyokua na mkakati wa kutaka kumdhuru aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole.
“Uamuzi mdogo uliotolewa na Jaji leo hatujaridhika nao, Uamuzi katika mapingamizi yote mawili. Jaji ambaye kwa sasa ni Jaji Kiongozi hajaonyesha uongozi wa kutenda haki. Tutakwenda kukutana kama chama kutafakari kwa kina wakati Mawakili wakishauriana na Watuhumiwa.”
The presiding judge, Mustafa Siyani, was recently appointed the High Court Principal Judge.
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chadema atuhumiwa kwa kesi ya mtandao.
‘I was hang upside down and tortured’