IMF urges tighter fiscal controls to save Maldives
The Maldives needs “urgent and stronger” fiscal consolidation to salvage its troubled economy despite a thriving tourism industry, the International Monetary Fund has warned.
The Maldives needs “urgent and stronger” fiscal consolidation to salvage its troubled economy despite a thriving tourism industry, the International Monetary Fund has warned.
Benki ya Dunia pia imetangaza kuwa itaunda kiti cha tatu cha mataifa ya Afrika katika bodi yake yenyewe, uamuzi utakaofanywa rasmi katika mikutano ya Oktoba 9-15 huko Marrakesh
Mpango huu wa dharura ulifichuliwa kwa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kama njia ya kufadhili bajeti ya trilioni Ksh3.68 ikiwa hatua za sasa za kuongeza ushuru zitakabiliwa na vikwazo mahakamani.
Somalia’s international partners have welcomed the election of President Mohamud, with many hoping it will draw a line under a long-running political crisis.
Mohamud, aliwahi kuwa rais kati ya 2012 na 2017, ameahidi kulibadilisha taifa hilo lililokumbwa na machafuko kuwa nchi ya amani
Kufikia mwisho wa Februari 2022, Wakenya milioni 3.1 kati ya milioni 47 walikuwa wanahitaji msaada wa chakula.
The “seismic” impact of the war in Ukraine is spreading worldwide, causing the IMF on Tuesday to sharply downgrade its…
Vikwazo vya kiuchumi pia vinajumuisha kufungia mali ya benki na ya watu binafsi bila kujumuisha benki fulani za Kirusi kutoka kwa interbank SWIFT na udhibiti wa mauzo ya nje.
US Federal Reserve plans to raise interest rates as world economic growth slows.
Shirika la IMF latoa US$567.25 milioni kusaidia katika juhudi za kuinua uchumi wa Tanzania uliodorora kutokana na mlipuko wa UVIKO 19.