Ondoa Mswada wa Fedha na uwaombe Wakenya msamaha – Raila amwambia Ruto
Raila alisema Rais anafaa kuondoa Mswada wa Fedha wa 2023 kwa sababu Wakenya watateseka iwapo utapitishwa. Tayari Mswada huo upo Bungeni ukisubiri uamuzi wa Wabunge
Raila alisema Rais anafaa kuondoa Mswada wa Fedha wa 2023 kwa sababu Wakenya watateseka iwapo utapitishwa. Tayari Mswada huo upo Bungeni ukisubiri uamuzi wa Wabunge
Utafiti huo ulifanyika kati ya Machi 11 hadi Machi 19, 2023
Hata hivyo, katibu mkuu wa Jubilee Jeremiah Kioni hakuwepo katika mkutano huo.
Makamishna hao ni makamu mwenyekiti Juliana Whonge Cherera, makamishna Francis Mathenge Wanderi, Irene Cherop Masit na Justus Abonyo Nyang’aya
Hakimu Victor Wakumile alionya washtakiwa kuwa wanaweza kukamatwa tena katika siku zijazo kwa makosa kama hayo.
President Ruto said the Ksh 300 billion cut will be effected and that plans are underway progressively to stop the borrowing spree.
Rais anayestaafu Uhuru Kenyatta maarufu kama Jayden anapostaafu kama rais, pia “anapeana” wadhifa wa mfalme wa meme kwa naibu rais Rigathi Gachagua maarufu kama Riggy G.
Kiongozi huyo wa taifa alitoa taswira ambayo serikali yake itatumia kusukuma mbele uongozi alioutaja kama wa kila mkenya.
Four Judges of Court of Appeal who were appointed on Tuesday will be sworn in today.
Uapisho wa rais mteule itafanyika katika hafla ya taifa katika mji mkuu wa taifa kulingana na kipengee cha 141 cha katiba.