kenya
-

Uganda yawafunga wakenya miaka 20 jela kwa kutumia silaha kinyume cha sheria
Wafugaji hao 32 walikamatwa katika operesheni ya kijasusi siku ya Jumamosi, kufuatia majibizano ya risasi katika wilaya ya Moroto kaskazini mashariki mwa Uganda
-

Kwa nini umeme ni ghali nchini Kenya?
Mafuta na ushuru vimetajwa kuwa vipengele vinavyosababisha gharama ya juu ya umeme
-

Kwa nini kuna ucheleweshaji wa njia ya umeme ya Kenya-Tanzania?
AfDB inasema Ketraco bado haijalipa familia zilizoathiriwa Sh64.719 milioni ili kuandaa njia ya kukamilika kwa laini hiyo kwa upande wa Kenya
-

Baada ya kusimamisha maandamano, ni hatua gani inayofuata kwa upinzani?
Odinga alisema watarejelea maandamano ‘katika wiki moja’ ikiwa mazungumzo hayatazaa matunda
-

Jua kwa nini rais Ruto awataka upinzani kusitisha maandamano dhidi ya serikali yake
Rais wa Kenya William Ruto alimtaka mpinzani wake wa kisiasa siku ya Jumapili kusitisha maandamano dhidi ya serikali yake huku upinzani ukiapa kuwapeleka waandamanaji mitaani kwa siku nyingine. Kiongozi wa upinzani Raila Odinga alikuwa ameitisha…
-

Chama cha upinzani nchini Kenya chaandaa maandamano ya siku ya tatu
Odinga ameitisha maandamano kila Jumatatu na Alhamisi akimshutumu Rais William Ruto kwa kuiba uchaguzi wa mwaka jana na kushindwa kudhibiti kupanda kwa gharama ya maisha
-

Wakenya lazima watii sheria! Rais Ruto asema baada ya maandamano
Rais William Ruto amesema hali ya kutoadhibiwa haitavumiliwa na Wakenya wote lazima watii sheria
-

Kenya Airways yachapisha hasara mbaya zaidi kuwahi kutokea
Ni mwaka wa 10 mfululizo wa hasara kwa shirika hilo la ndege, ambalo lilichapisha faida mara ya mwisho mnamo 2012
-

Wahuni wavamia shamba la aliyekuwa Rais Uhuru Kenyatta jijini Nairobi
Nia ya uvamizi huo haijulikani wazi
-

Inspekta Jenerali wa Kenya amepiga marufuku maandamano mapya ya upinzani Jumatatu
Zaidi ya watu 200 walikamatwa Jumatatu iliyopita, wakiwemo wanasiasa kadhaa wakuu wa upinzani, huku msafara wa Odinga mwenyewe ukipigwa na mabomu ya machozi na maji ya kuwasha







