kenya
-

Ruto akanusha kusaini mkataba wa mafuta na gesi na Tanzania
Alisema Kenya ina mpango wa kuzalisha MW 10,000 kutoka kwa rasilimali ya jotoardhi, na MW 20,000 kutoka kwa jua na upepo
-

Mwanzilishi wa Microsoft Bill Gates yuko nchini Kenya
Mfanyabiashara wa Marekani na mwanzilishi wa Kampuni ya Microsoft Bill Gates yuko nchini Kenya, ambako atafanya mfululizo wa mazungumzo ya umma
-

Mahakama ya ufisadi Kenya yafuta kesi dhidi ya naibu rais Rigathi Gachagua
Hakimu Victor Wakumile alionya washtakiwa kuwa wanaweza kukamatwa tena katika siku zijazo kwa makosa kama hayo.
-

Afrika Kusini yaondoa masharti ya visa kwa wasafiri wa Kenya
Afrika Kusini imeondoa masharti ya visa kwa Wakenya wanaosafiri kwenda taifa hilo la kusini mwa Afrika kuanzia Januari 2023 kwa muda wa siku 90 kila mwaka
-

Marubani wa Kenya Airways waliogoma warejea kazini
Mahakama iliwaamuru kusitisha mgomo wao wa siku kadhaa uliosababisha mamia ya safari za ndege kufutwa na maelfu ya abiria kukwama
-

Mahakama yaamuru marubani wa Kenya Airways wanaogoma kurejea kazini
Jaji Anna Mwaure siku ya Jumanne aliamuru “marubani wa Kenya Airways kurejelea majukumu yao kama marubani ifikapo saa 12 asubuhi tarehe 9 Novemba 2022 bila masharti”
-

East African Community leaders meet to discuss security situation in DRC
The meeting was held in in Shamar El Sheikh, Egypt,on the sidelines of the meeting of United Nations Framework on Climate Change (COP-27)
-

Rais Samia aanza ziara China
Rais Samia Suluhu Hassan amewasili mjini Beijing, China kwa ziara ya kiserikali inayolenga kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.
-

Tanzania yatuma wanajeshi kuzima moto mlima Kilimanjaro
Moto huo ulianza tarehe 21 mwezi oktoba karibu na eneo la Karanga linalotumiwa sana na wanaokwea mlima huo.
-

Mwili wa mwanamke wa Uingereza unaohusishwa na ibada kufukuliwa Kenya
Luftunisa Kwandwalla, 44, alikuwa akizuru mji wa Mombasa alipokutana na kifo chake Agosti 2020, na kuzikwa siku moja baadaye, lakini familia yake imedai mchezo mchafu







