kenya
-

Atwoli Amechaguliwa Makamu wa Rais wa ITUC kwa Awamu ya Nne
Uteuzi wa Atwoli uliidhinishwa kwa kauli moja na zaidi ya wajumbe 2000 na kufungua njia kwa muhula wake wa miaka mine katika ITUC, ambayo ina makao yake makuu mjini Brussels, Ubelgiji.
-

Beer sales banned around Qatar World Cup stadiums: FIFA
Football’s world body said the decision was taken following “discussions” with World Cup hosts Qatar, an Islamic state which severely restricts alcohol consumption.
-

Tiketi za Kombe la Dunia Nchini Qatar ndio ghali Zaidi Kuwahi kushudiwa-Utafiti
Wakati mashabiki nchini Urusi walilipa takriban pauni 214 (31, 1000) kwa tikiti za mechi nchini Qatar zinagharimu pauni 286 (41,000) kulingana na utafiti wa Keller Sports.
-

Mwanawe Odinga, Winnie Odinga kuwakilisha Kenya katika bunge la Afrika Mashariki
Winnie Odinga, Binti mdogo wa Raila Odinga akiibuka wa pili kwa kura 247, jambo ambalo linamfungulia njia ya kuwakilisha taifa la Kenya kwa muhula wa miaka mitano katika bunge la EALA lililoko mjini Arusha.
-

Kitengo cha Mafunzo ya Jeshi la Uingereza nchini Kenya chakumbatia teknolojia mpya ya mafunzo
Jeshi vilevile imeanzisha mafunzo ya muigo ya kukabiliana na hali ya mapigano, ambapo wamewafunza wahandisi wa Kenya kuhusu teknolojia hiyo.
-

Kenya Airways kuanza safari za moja kwa moja kutoka Mombasa –Dubai kuanzia mwezi ujao
Shirika hilo linatazamiwa kuendesha safari hiyo mara nne kwa wiki kwa ndege yake aina ya Boeing 737-800.
-

FIFA President Infantino to stand unopposed for third term
A brief statement from FIFA said that Infantino would be the only candidate when the election takes place at the 73rd FIFA Congress in Kigali, Rwanda on March 16.
-

Moshi ya bangi hudhuru mapafu zaidi kwa watumiaji wa sigara, utafiti wabaini
Bangi hatari na bandia kama K2 na Spice, haitumiwi sana katika majimbo ambayo bangi imehalalishwa.
-

Kizza Besigye: Uongozi sharti urejeshwe kwa wananchi wa Uganda
Besigye anasisitiza kwamba uongozi Uganda unatekelezwa kupitia jeshi ambalo alibaini kuwa linawafahamisha raia kuhusu mfalme wa kifalme anayekuja.
-

Wawinda mizimu Afrika Kusini wageukia teknolojia kurahisisha shughuli zao
Kazi yenyewe ni nzito. Kwa kuwa roho ya mizimu hukwepa mashambulia au muingiliano wa aina yeyote.







