Putin orders partial mobilisation in Russia
President Vladimir Putin on Wednesday ordered “partial” mobilisation in Russia, in an escalation of what Moscow calls its military operation in pro-Western Ukraine.
President Vladimir Putin on Wednesday ordered “partial” mobilisation in Russia, in an escalation of what Moscow calls its military operation in pro-Western Ukraine.
Katika siku ya 100 ya uvamizi wa Urusi, mapigano yanaendelea katika eneo la mashariki, ambapo vikosi vya Moscow vinaimarisha udhibiti wake katika eneo la Donbas la Ukraine.
UN na mataifa kadhaa yametoa wito kusitisha vita vya Urusi nchini Ukraine, huku kukiwa hakuna uwezekano wa kufufua mazungumzo ya amani kati ya nchi hizo mbili.
Zaidi ya watu 2,000 wameuawa katika mji huo wa Mariupol kulingana na mamlaka ya Ukraine.
Msururu wa milipuko mikali ilitikisa maeneo ya makazi ya watu wa Kyiv mapema Jumanne na kuua watu wawili, saa chache kabla ya mazungumzo kati ya Ukraine na Urusi kutarajiwa kuanza tena.
Vladamir Putin ameahidi atatimiza lengo lake kwa njia yoyote ile iwe “kwa mazungumzo au kupitia vita”
Baada ya Urusi kuizingira Ukraine kwa makumi ya maelfu ya wanajeshi, Urusi ilivamia jirani yake mapema Februari 24, na kuanzisha…
Ukraine imepata hasara kubwa katika mzozo wake wa miaka minane na waasi wanaoungwa mkono na Urusi katika eneo la mashariki linalotaka kujitenga