Moscow
-

Ukraine yakataa kutoa njia salama kwa Urusi kwa wakimbzi wanaotoroka mashambulizi
Vladamir Putin ameahidi atatimiza lengo lake kwa njia yoyote ile iwe “kwa mazungumzo au kupitia vita”
-

Vita Ukraine: Jinsi wiki ya kwanza ilivyokuwa
Baada ya Urusi kuizingira Ukraine kwa makumi ya maelfu ya wanajeshi, Urusi ilivamia jirani yake mapema Februari 24, na kuanzisha mzozo mbaya zaidi barani Ulaya katika miongo kadhaa. Urusi yavamia Alfajiri ya Alhamisi iliyopita, Rais…
-

Vikosi vya ardhini vya Urusi vyavuka mpaka na kuingia Ukraine: Kyiv
Ukraine imepata hasara kubwa katika mzozo wake wa miaka minane na waasi wanaoungwa mkono na Urusi katika eneo la mashariki linalotaka kujitenga







