Mwanzo TV
-

Kenya: Waziri wa Elimu Prof.Magoha azungumzia mkanganyiko ulioko kuhusu mfumo mpya wa CBC
Profesa Magoha alisisitiza kuwa wanafunzi wa kwanza wa mfumo wa CBC hawatarejea katika mfumo wa zamani wa 8-4-4.
-

Kenya: Tume ya IEBC yamtaka Sabina Chege kufika mbele yake
Kauli ya tume ya uchaguzi inajiri baada ya Chege kudai kuwa chama cha Jubilee kilishinda uchaguzi mkuu wa 2017 baada ya kuiba kura
-

UN warns South Sudan risks a return to war
South Sudan has suffered from chronic instability since independence in 2011.
-

Mchezaji kandanda atozwa faini na kupoteza udhamini kwa kumpiga teke paka wake
Zaidi ya watu 300,000 wametia saini ombi la mtandaoni la kumtaka Zouma ashtakiwe.
-

Burkina Faso’s military strongman declared president
On January 24, disgruntled officers led by Damiba forced out the country’s elected president, Roch Marc Christian Kabore.
-

HRW calls on Uganda to drop charges against exiled prominent author
Uganda has witnessed a series of crackdowns aimed at stamping dissent.
-

Watu sita wauawa katika shambulizi la kijihadi Mogadishu
Takriban watu sita waliuawa katika mji mkuu wa Somalia Alhamisi katika shambulio la bomu la kujitoa mhanga lililodaiwa kutekelezwa na wanajihadi kwenye mgahawa karibu na kituo cha ukaguzi cha usalama kuelekea ikulu ya rais, afisa…
-

Uganda inasema uamuzi ya mahakama ya Umoja wa Mataifa kuhusu uharibifu wa vita DR Congo ‘si ya haki’
Uamuzi wa Jumatano wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki ulikuwa hitimisho la mvutano wa muda kati ya nchi hizo
-

Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso atangazwa kuwa rais
Damiba ataapishwa Februari 16 katika mji mkuu wa Ouagadougou.
-

Benki kuu ya Kenya (CBK) kuanzisha sarafu ya kidijitali
Wakenya wamepewa siku 120 kuwasilisha maoni yao kuhusu kuanzishwa kwa sarafu ya kidijitali CBDC







