Mwanzo TV
-

Nchi ambako kila mtu ana uzani wa zaidi ya kilo 100
Si rahisi kwa waNauru kubadili mtindo wao wa maisha kwasababu unene unaonekana kama ishara ya utajiri.
-

The first Chinese woman to walk in space
Wang Yaping, 41, has previously travelled to China’s now-retired experimental space stations.
-

Supreme Court dismisses case stopping Nairobi’s acting governor from being sworn-in
The former governor, Mike Sonko, had filed a case seeking to stop the swearing-in of Anne Kananu.
-

Takriban watu 91 wauawa baada ya lori la mafuta kulipuka
Takriban watu 91 wameuawa na wengine 100 wamejerihiwa mjini Freetown Jumamosi baada ya lori la mafuta kulipuka baada ya kugongana na lori jingine. Mamlaka nchini Sierra Leone hawajatoa taarifa rasmi kuhusu idadi ya wale waliouawa…
-

Ni katiba ipi fupi na ipi kongwe zaidi duniani,fahamu zaidi
Taifa la pili kwa udogo duniani, Monaco ina katiba fupi zaidi duniani. Katiba ya Monaco ilipitishwa mwaka wa 1911.
-

Nini kinachosababisha mapigano Tigray, Ethiopia?
Mapigano Ethiopia yamekuwa yakiendelea tangu Novemba 2020 na yamesababisha njaa kali na vifo vya takriban watu 400,000 kufikia sasa.
-

Ugonjwa hatari wa kuambukiza Ukoma, wazuka upya Malawi.
Mwaka wa 2014 visa 554 vya ukoma viliripotiwa na visa 629 kuripotiwa mwaka wa 629
-

Ethiopia yatangaza hali ya hatari waasi wa TPLF wakielekea Addis Ababa
Serikali ya Shirkisho imetangaza hali ya hatari itakayodumu kwa miezi sita huku Amerika ikiwataka waasi kutouteka mji wa Addis Ababa.
-

Nchi ya Tonga yaripoti kisa cha kwanza cha UVIKO 19.
Ripoti ya UN tarehe 29 Oktoba 2021 imeonyesha kuwa mataifa manne pekee hayajaripoti visa vyovyote vya UVIKO 19.








