Mwanzo TV
-

Rais Samia Ashtakiwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu kwa Madai ya Uhalifu Dhidi ya Ubinadamu
Mwasilishaji wa ombi hilo, wakili Juan Carlos Gutierrez, anayewakilisha waathiriwa, anadai kwamba Rais Samia Suluhu Hassan, kama Amiri Jeshi Mkuu, anabeba jukumu la mwisho kwa madai hayo, akisema aliidhinisha moja kwa moja matumizi ya nguvu…
-

Tanzania kuhakiki Makala ya CNN iliyofichua Mauaji ya Uchaguzi Mkuu
Serikali ya Tanzania imesema inafatilia kwa ukaribu makala mpya ya televisheni ya kimataifa ya CNN, ambayo imeeleza kwa kina madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu na matukio ya vifo vya watu wakati wa maandamano…
-

Chadema yaikataa Tume ya Rais Samia, yashinikiza uchunguzi wa Kimataifa
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche, akitoa taarifa kwa vyombo vya habari leo Novemba 19, 2025, amesema Rais Samia hana mamlaka ya kimaadili wala kisiasa kuunda chombo cha kuchunguza kile chama hicho kinachokitaja kuwa ni…
-

Samia aunda Tume kuchunguza ghasia za uchaguzi, atoa wito wa maridhiano na kuahidi mchakato wa Katiba Mpya ndani ya siku 100
Akitangaza hatua ya serikali kuunda Tume maalum ya uchunguzi, alisema uchunguzi huo utakuwa msingi wa kuelewa chanzo cha migogoro na kuchukua hatua za kurejesha maelewano ya kitaifa.
-

Mahakama Kuu kusikiliza maombi ya Habeas Corpus ya John Heche
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa CHADEMA, Wakili Gaston Garubindi, maombi hayo yamesajiliwa na kupangwa mbele ya Jaji Obadia Bwegoge.
-

ACT Wazalendo yashinikiza uchunguzi wa Kimataifa dhidi ya mauaji ya waandamanaji
Taarifa hiyo ya ACT Wazalendo ambayo imetolewa leo Alhamisi Novemba 6, 2025, imeeleza kuwa matukio hayo si uvunjifu wa haki za binadamu tu bali pia mamlaka zimekosa utu kwa kutozingatia misingi ya utawala bora.
-

AU: Uchaguzi wa Tanzania ulivurugwa
Katika ripoti yake ya awali, Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa AU ulisema kuwa baadhi ya wapiga kura walipatiwa karatasi nyingi za kupigia kura, na wengine waliruhusiwa kupiga kura bila majina yao kuthibitishwa kwenye daftari…
-

Uganda Kills ‘Herbalist’ Who Attacked Military Bases
Insurgents using submachine guns and machetes attacked police and military posts in Bundibugyo, Kasese, and Fort Portal districts, killing at least one civilian and one soldier.
-

Ushiriki mdogo wa wapiga kura wakati Tanzania inapiga kura bila upinzani
Idadi ndogo ya wapiga kura imeonekana katika vituo vya kupigia kura jijini Dar es Salaam leo Jumatano, wakati ambapo wapinzani wakuu wa Rais Samia Suluhu Hassan wengine wakiwa gerezani na wengine wamezuiwa kugombea.








